Mwanasheria Mkuu Wa Chadema na Mnadhimu Mkuu wa Upinzani Bungeni ....hii ndiyo inamuondolea sifa...kwani pale huteuliwa Majaji wa Mahakama pia...kumbuka yule Rais aliyepita kabla ya huyu anayemaliza akiitwa NASSIB na wengine pia walikwaa Ujaji toka hapa kisha Lissu alitukana Uteuzi wao Bungeni....ngoja tuone maana ni Wanasheria hawa naona Washafunguliana kesi.
CCM wenzangu mtanichukia ila nimetafiti ninavyoweza kati yetu hatuna hata theluthi moja tu ya Wanasheria / Mawakili wanaoweza kuwa na thamani aliyonayo Tundu Lissu na pengine kama hatutojali si vibaya pia tukamwomba Tundu Lissu awe anatufundishia Wanasheria / Mawakili wetu ndani ya Chama chetu cha CCM au huko Serikalini ili angalau basi Tanzania ya sasa iweze kuwa na competent Lawyers / Advocates kwani wengi wao waliopo huko naona ni goi goi na wa hovyo hovyo tupu.
Sijazoea Unafiki na naongozwa na Ukweli na Uhalisia ukinichukia poa tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.