Hii kitu gender issue iliwashinda wenzetu majuu wakatuletea huku. Sisi kwa uzuzu na kupenda sifa tunaidaka tu, ooohh 50/50. Kitabu gani kilitamka hivyo? Hats utamaduni Wa jamii kubwa ya waafrika hatupo hivyo. Ndoa kwao hazidumu na Kwetu zinavunjika kila kukicha. Mjengee mwanamke uwezo hapo kwako kama hataanza kukudharau. Ndo maana wanawake hawapewi uwezo mkubwa.