Je anafaa kuwa mke wangu wa ndoa?

Habari ndugu wapendwa wana Jf, heshima kwenu wote. Naomba mchango wa mawazo juu ya hili: nina girl friend ni mzuri sana,kazaliwa 87, ila tayari anawatoto wawili ila ukimuona ni kama hajawahi kuwa na mtoto vile,umboni dogo na anavutia.Hajawahi olewa ila bwana aliyemzalisha hao watoto kamelekeza. binti kasomea secrtarial courses na nafanya kazi stationary. sijawahi kuonana naye kimwili hata mara 1 ila roho inasita saa coz tayari yeye ana watoto wawili. nilimtega kwa mengi lakini yote yupo tayari kutkeleza.mfano nilimdanganya kuwa mie nataka mwanamke ambaye atakuwa tayari kunipa section A na B na akasemacoz ananipenda yeye yupo tayari. Hana kipato kikubwa lakini haini kunipigia simu asubuhi,mchana, jioni, nakuhusu msg ndio usiseme hadi nahisi anamaliza pesa yake kwamatumizi ya simu kwa ajili yangu. waungwana naombeni ushauri ambao utanipa mwanga wa kuweza fanya maamuzi nimuoe au laa? nawasilisha wakuu!

Since ameshazaa , bwana mdogo , yupo mama ni MKE WA MTU. Stay away 4 ur sake , kama wewe ni mtu makini.

Maisha hayaishii kula Section A na B , there is more 2 it.
 
Sikia dogo, huyo hakufai kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mwanamke makini hata kama anashida hawezi kubali kutoa section A na B hata utani hawezi sema, suala la kupiga simu ni kutaka kukuchanganya ukikubali tu umeliwa, watoto siyo issue hata kidogo, tatizo ni yeye mwenyewe. Tafuta mwingine...achana naye!!

kweli tupu
uyu dada hakupend
anatafuta mfadhili wa watoto wake
hana msimamo et anakupenda ndo akupe A na B ?
ahh apana uyo hafai..she z desperate...na wewe umeonyesha unaweza kumsaisia thats y na yeye anajitaid kuonyesha anakupenda....apo akitokea mtu akamwambia ntakununulia starlet nikuoe atakubali...HANA MSIMAMO UYO na kugongwa nje ni rahisi sana
NA weew kaka kipimo cha kuonyesha km anakupenda na atatekeleza yote umwambiayo ndo KUMWAMBIA WATAKA A na B?
ao watoto wa baba mmoja au kila kichwa na dad ake?
kwa ninialiachwa na babawatoto wake?
usije ukaingia chumba cha shetan kakangu ukatoka na alama nyekundu?pole
 
Since ameshazaa , bwana mdogo , yupo mama ni MKE WA MTU. Stay away 4 ur sake , kama wewe ni mtu makini.

Maisha hayaishii kula Section A na B , there is more 2 it.
mwambie uyo
yan kiipimo ni a na b?
kaka m sor kwan una umri gan mpenz?
 
habari ndugu wapendwa wana jf, heshima kwenu wote. Naomba mchango wa mawazo juu ya hili: Nina girl friend ni mzuri sana,kazaliwa 87, ila tayari anawatoto wawili ila ukimuona ni kama hajawahi kuwa na mtoto vile,umboni dogo na anavutia.hajawahi olewa ila bwana aliyemzalisha hao watoto kamelekeza. Binti kasomea secrtarial courses na nafanya kazi stationary. Sijawahi kuonana naye kimwili hata mara 1 ila roho inasita saa coz tayari yeye ana watoto wawili. Nilimtega kwa mengi lakini yote yupo tayari kutkeleza.mfano nilimdanganya kuwa mie nataka mwanamke ambaye atakuwa tayari kunipa section a na b na akasemacoz ananipenda yeye yupo tayari. hana kipato kikubwa lakini haini kunipigia simu asubuhi,mchana, jioni, nakuhusu msg ndio usiseme hadi nahisi anamaliza pesa yake kwamatumizi ya simu kwa ajili yangu. Waungwana naombeni ushauri ambao utanipa mwanga wa kuweza fanya maamuzi nimuoe au laa? Nawasilisha wakuu!

crap.
 
Habari ndugu wapendwa wana Jf, heshima kwenu wote. Naomba mchango wa mawazo juu ya hili: nina girl friend ni mzuri sana,kazaliwa 87, ila tayari anawatoto wawili ila ukimuona ni kama hajawahi kuwa na mtoto vile,umboni dogo na anavutia.Hajawahi olewa ila bwana aliyemzalisha hao watoto kamelekeza. binti kasomea secrtarial courses na nafanya kazi stationary. sijawahi kuonana naye kimwili hata mara 1 ila roho inasita saa coz tayari yeye ana watoto wawili. nilimtega kwa mengi lakini yote yupo tayari kutkeleza.mfano nilimdanganya kuwa mie nataka mwanamke ambaye atakuwa tayari kunipa section A na B na akasemacoz ananipenda yeye yupo tayari. Hana kipato kikubwa lakini haini kunipigia simu asubuhi,mchana, jioni, nakuhusu msg ndio usiseme hadi nahisi anamaliza pesa yake kwamatumizi ya simu kwa ajili yangu. waungwana naombeni ushauri ambao utanipa mwanga wa kuweza fanya maamuzi nimuoe au laa? nawasilisha wakuu!

kuwa na watoto wawili sio ishu saaana.Cha msingi hapa ndugu yangu ni tabia na mapenzi ya kweli.
Halafu hukupaswa kutumia kigezo cha kutaka kupewa section zote A na B ili ujue kama kweli yupo tayari.
Kwa mtazamo wangu kama amekubaliana na matakwa yako ya sehem A na B ,ni dhghiri shairi hafai kuitwa wala kuwa mke kwako.
 
kuwa na watoto wawili sio ishu saaana.Cha msingi hapa ndugu yangu ni tabia na mapenzi ya kweli.
Halafu hukupaswa kutumia kigezo cha kutaka kupewa section zote A na B ili ujue kama kweli yupo tayari.
Kwa mtazamo wangu kama amekubaliana na matakwa yako ya sehem A na B ,ni dhghiri shairi hafai kuitwa wala kuwa mke kwako.[/QUOTE]

kuwa na watoto 2 sio ishu ila hapo kwenye bold mwe!
 
wengi wamesema kuwa fuata hisia zako lakini mimi niko tofauti kidogo haya mambo ni magumu sana kuya handle kama hauko makini maana ndoa ni kitanzi cha milele hivyo nakushauri kaa na ndug zako wakubwa kama wazazi, wajomba au mashangazi wanaweza kukupa ushauri mzuri huyo binti anaonekana anataka ndoa kama kutoa mikosi na si kwa mapenzi ya dhati nakushauri usitembee nae au la achana nae kwani kulea watoto ambao si wako ni kazi ngumu sana na inataka moyo sio rahisi kama unavyofikiria na utaumia nafsi peke yako kwani ni mzigo ulioukabali

nakushauri fikiri kwanza au lah, na hayo mambo ya side A na B naona kama unaleta masiala ktk issue ya uhusiano grow up
 
Back
Top Bottom