Je, ana maana gani?

Au umemjulisha kuwa unamchumba?
au yeye kapata mchumbaa ivo tu
Sijawahi hata kufikiria kumtongoza, kuhusu yeye kupata mchumba ni juu yake sihitaji hata kujua,, kwa kifupi sijawahi hata kukaa kuzungumza nae ni ule utani wa juu kwa juu tu tukikutana.
 
Tatizo umelelewa maisha ya kitajili yani umenuniwa alafu unakuja kumsemea hapa...ili sisi tumchape au?
Nimeomba wanao fahamu saikolojia ya wanawake wanieleweshe anacho maanisha..
 
Kisichana kinaonyesha kuwa kinakuhitaji kimahusiano alaf wewe hauna habari nayeye

Anakutega umtongoze umkule wewe haujatambua so anaona bora afanye mambo mengine
 
Alikuchangamkia tu pindi uliporudi ila baada ya muda mfupi alikuona huna jipya akaamua kukuchunia mazima.
 
Ni PM namba yake nimuulize chap
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…