Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,803
- 8,796
Nchi ipo chini ya JK na kule Zanzibar ni Karume. Ni muda wa kina Bashiru kurudi kufundisha ule unoko aliofanya kutibua ulaji wa akina Rostam muda sasa umefika.
Dr Slaa ni mkosoaji mzuri na anatumia "apporach" nnayoizungumzia na ndo maana akarudi CCM na kukubalika.
Kwa mfano approach ya Dr Slaa ni tofauti na Lema.
Ila "approach" ya Mbowe na Dr Slaa pia zinafanana unapima nini ukizungumze kulingana na wakati.
Si umesikia apporacha ya Mbowe kwenye kutoa salamu za pole?
Hata kama ujumbe ule unabeba jina la kiongozi wa upinzani lakini umechanganywa na staha na ustaarabu.
Pia "apporach" yenu wapinzani katika msiba huu mmekosea sana.
Dr Slaa ni mkosoaji mzuri na anatumia "apporach" nnayoizungumzia na ndo maana akarudi CCM na kukubalika.
Kwa mfano approach ya Dr Slaa ni tofauti na Lema.
Ila "approach" ya Mbowe na Dr Slaa pia zinafanana unapima nini ukizungumze kulingana na wakati.
Si umesikia apporacha ya Mbowe kwenye kutoa salamu za pole?
Hata kama ujumbe ule unabeba jina la kiongozi wa upinzani lakini umechanganywa na staha na ustaarabu.
Pia "apporach" yenu wapinzani katika msiba huu mmekosea sana.
Twazungumzia approach kwenye kutaka ku-address hoja.Unaichukuliaje ile approach ya kubaki na mavi yetu nyumbani? Hayo yalikuwa ni maneno ya namba moja wa ccm na nchi hii. Au maneno ya hivyo huko ccm ni bonge la approach? Huu msiba ni wa mtu dhalimu, hapa ni mrejesho tu tunatoa wa kumuhusu hayati.
Twazungumzia approach kwenye kutaka ku-address hoja.
Hili jingine sijalisikia.
Upo sawa mkuu.. Sio wasukuma woteMmmmmmh usiseme hivo, sema Wasukuma wenye asili ya kule ..... ndio wapumzike kidogo mpaka watakapo starabika!.
Nakubali hiyo ilikuwa ni weakness yake ambayo watu wenye nia na maono ya aina moja wangeweza kumsaidia kurekebisha.Hilo kalisema juzi akiwa anafungua stand ya mbezi mchana kweupe. Kutokulisikia haimaanishi hujui tabia yake ya kuwasilisha hoja zake.
Nakubali hiyo ilikuwa ni weakness yake ambayo watu wenye nia na maono ya aina moja wangeweza kumsaidia kurekebisha.
Kwa wale walosoma uongozi kuna topic iitwayo Systemic leadership apporach ambayo imo kwenye kitabu alokiandika bibie Annabel Beerer kiitwacho "leadership and change management" (ukarasa wa 84-85) anazungumzia viongozi wa aina ya Magufuli rip.
Hii ni aina ya uongozi ambao awaita systemic leader, approach yake ni kuelezea na kusisita mabadiliko na mabadiliko hayo yanakuja na uhalisia mpya. Anaendelea kwa kusema kwamba kugundua changamoto zilizopo na katika mazingira magumu yahitaji mfumo sahihi wa kufikiri.
Na hiyo pia ni aina ya uongozi ambao twaweza kusema ni directive agiza na pata matokeo ya haraka.
Watu wa aina hii hawana muda wa mijadala au masuali ya kijinga (ambayo majibu pengine unayo) kwani waamini inaingilia ujumbe wake anaokuwa akilenga kuutoa muda huo.
Hivyo watu kama mimi nawaelewa vizuri aina hii ya viongozi lakini huwa na mapungufu yao mengi tu ambayo huweza kurekebishwa kadri ya muda unavyosogea.
Lema hawezi hata kujaribu kupanda level alokuwa nayo Magufuli rip.Basi huyu yuko kwenye hilo kundi la kina Lema ambalo hupendi approach zao.
Lema hawezi hata kujaribu kupanda level alokuwa nayo Magufuli rip.
Historia zao ni tofauti.
Nimeishi Arusha mjini na namfahamu Lema na nafahamu historia yake.Magufuli alikuwa na level gani boss, au ni mambo ya kuabudu sanamu? Nimecheka sana ulipotoa ufafanuzi wa kitaalamu ni kwanini unaweza kumuelewa Magufuli na mapungufu yake, lakini umeshindwa kutumia elimu hiyo hiyo kuwaelewa akina Lema and the likes. Au ndio mambo ya mahaba niue?
Nimeishi Arusha mjini na namfahamu Lema na nafahamu historia yake.
Hivyo hata ukileta mafaili nichambue nikikuta faili lake ntaliweka pembeni kwanza.
Nayaelewa mapungufu yao wote ila hapa twazungumzia approach inayotumika.Sina tatizo na hilo, nasema hivi, hiyo elimu yako inayoweza kuelewa mapungufu ya mtawala, ila isiweze kuelewa mapungufu ya asiye mtawala huoni ni kama hujahitimu vizuri? Hapo una tofauti gani ni mtu anayetumia elimu yake kwa faida ya tumbo?
Nayaelewa mapungufu yao wote ila hapa twazungumzia approach inayotumika.
Hata wewe nimekuelewa mapungufu yako mawili matatu na ndo maana twazungumza uzuri pale inapobidi.
Halafu nikukumbushe, mimi si mtumishi wa serikali bali ni mjasiriamali na nina vibanda vyangu viwili vitatu vya kuchoma chips na kaduka ka kuuza bidhaa za rejareja.
Hivyo kipato changu ni cha kawaida sana.
Si msomi sana kama unavyofikiri ila napenda kujifunza na huwa sipendi makuu.
Ila nimejaaliwa kusafiri sana na nimeishi na watu wa aina mbalimbali katika nchi mbalimbali duniani, jambo ambalo linenifunza namna ya kuishi na watu.
Labda media tu hazikutaka kuwapa attentionWanabodi
Baada ya kusambaa picha mbalimbali zikiwaonesha baadhi ya wanaccm waliokuwa kwenye kamati kuu leo kama ilivyoelezwa kwenye vyombo vya habari, Je Kikwete na Karume ni wajumbe halali? Mbona hawakuwahi kuonekana kwenye CC enzi za Hayati JPM akiwa chairman?
Naomba Msaada.
Ok, mimi nimekaa kidogo Sweden mji wa Sundsvaal. Ila sizungumzi kiswedish.Nashukuru kwa kuelewa mapungufu yangu, kama mimi nilivyoelewa mapungufu yako, na ninaheshimu hisia zako. Mimi sijafanikiwa kusafiri sana, ila nimekaa Sweden kwa miaka kadhaa na kupata watoto wawili huko. Kwasasa mimi ni freelance hapa jijini.
Ni kuisoma mamba tu hamna mamna tena mbele kwa mbele.Kuna kibwagizo fulani hivi kinasema ccm ina wenyewe..
Ss ukimuona JK akisema DJ leta mambo halafu ipigwe hiyo ngoma.....
RIP JEMBE JPM.
Kwamba S = JP + JK ni uongo mkubwa sana nenda katubuSuluhu-JK=JPM Means
Suluhu=JPM+JK, Then
How
JPM-JK=Suluhu ?
Your total wrong buddy...!!