DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Wakuu
====
kampeni zimeanza! Kila mgombea wa urais anaahidi mambo ili kupata ridhaa ya wananchi. Lakini je, ahadi hizi zinaendana na mahitaji halisi ya taifa letu katika karne hii? Kwa mfano, ahadi za ‘ubwabwa hospitalini’, sera za kujua kusoma na kuandika darasa la tatu, na nyinginezo — ni sehemu ya ahadi hewa tu ili wapate dola?
Soma Pia:

-
GE2025 - CHAUMMA: Mgonjwa akifika hospitali apewe Ubwabwa
Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHAUMMA kwenye uzinduzi wa kampeni.
www.jamiiforums.com
-
GE2025 - Mgombea AAFP: Nitaruhusu kilimo cha bangi kukuza uchumi, Walevi lazima wakate Leseni
Bangi kwa Bongo na sehemu kibao ni haramu na kama issue ni legality nchi zipo ambazo hata Coccaine ni legal for personal use https://worldpopulationreview.com/country-rankings/countries-where-cocaine-is-legal duh hatari sana aisee
www.jamiiforums.com
-
GE2025 - Gombo Gombo: Mkichagua CUF tutakomesha utekaji
Chama cha Wananchi CUF kimesema endapo kitaingia madarakani kitahakikisha kinapambana na utekaji wa watu nchini ikiwemo na kuhakikisha kinaimarisha vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Mwanza mgombea urais kupitia CUF Gombo Samandito Gombo amewaomba watanzania...
www.jamiiforums.com