Mkuu sijakuelewa kwamba mwenye faili la mwanamke ndo kuna taarifa za ndoa ila kwa mwanaume hapana taarifa yeyote? Na wataishije pamoja vp ikijulikana wanaishi pamoja na wakawekewa IO's itakuaje matokeo yake?Hailuhusiwi,mmoji Apache kazi ndio ndoa ifungwe.
Ukiona kuna afsa amemuoa private wengi wanatumia majina ya wadogo/kakazao lakini yeye ndio anaishi nae kwa lengo la kutokuachishwa kazi kwa mmoja wao il I kipato cha familia kiongezeke.
Yaani umekosa mdau wakumuulize ishu ndogo kama hiyo mpaka uilete humuSalam sana wana JF habari za mapumziko ya mwisho was wiki!
Ni matumaini yangu kuwa muuwazima wote
Naomba kuwasilisha mada tajwa je askari jeshi mwenye cheo cha juu anaweza mumwoa askari mwenzake wa cheo cha chini mfano Private? Na kwa mwanamke anaweza kuolewa na wa cheo cha chini yake?
Mkuu samahani kama limekuboa ila ikiona mada imeletwa humu imekosa msaidizi wa karibuu kwa hapa nilipo so majibu yako ni ya muhimu ili ambao hawaelewi kama mim waelewe asanteYaani umekosa mdau wakumuulize ishu ndogo kama hiyo mpaka uilete humu
Nadhani inawezekana mkuu
Yeah wakiwa kazini...itifaki yazingatiwaKwa hiyo wakiwa kwenye magwanda yao mama anampigia sauti mume wake?!
Ni hivi!Mkuu sijakuelewa kwamba mwenye faili la mwanamke ndo kuna taarifa za ndoa ila kwa mwanaume hapana taarifa yeyote? Na wataishije pamoja vp ikijulikana wanaishi pamoja na wakawekewa IO's itakuaje matokeo yake?
Mkuu asante sana kwa majibu mazuri sana umenifungua ubongo kiukweli, ila nina swali Dogo la nyongeza vipi private anaweza akaolewa na raia na baada ya kuoana jamaa akaenda kupiga kozi ? Jamaa ana elimu ya diploma hiyo imekaaje mkuu wanaweza wakaendelea kuishi kama mke na Mme ?Ni hivi!
Kwanza unatakiwa ujue mwanamke mwanajeshi ni kama anaoa yy,
Maana akipata mchumba anapeleka picha na jina na linawekwa kwenye faili,halafu huyo mchumba anaitwa atapewa masharti.
Ni kwamba kama kumuoa basi unatakiwa tukubaliane kua,
Wakati wowote tukimtaka usimzuie .
Unaluhusiwa kujua zamu zake za kazi,
Kama hajaludi na sio zamu yake kazini ukitutaarifu tutamuadhibu.
Kama hujakubaliana na hayo muache.
Kuhusu data za kwenye faili huyu mdada anaweza kusetiwa na akachukua data za mdogo/kaka na akazipeleka na akahojiwa yy Siku ya mwisho ataenda kuishi na muhusika.
Ilishawahi kutokea private akakubaliana na afsa ili waoane Sheria zinasema aaache kwanza kazi.akaacha na wakafunga ndoa.bahati mbaya kabla ya mwaka afsa akavuta.
Kwahiyo kutokana na mambo ya aina hii watu wanaamua kuweka data kwa staili hiyo.
Hata Private wa kiume anaweza kumuoa Brigedia wa kike
Ukumbuke CV zako za maombi ya kazi zinatakuwa ueleze kama umeoa au umeolewa ,siju utaziweka na kama umeziweka sijui kama watakupokea.Mkuu asante sana kwa majibu mazuri sana umenifungua ubongo kiukweli, ila nina swali Dogo la nyongeza vipi private anaweza akaolewa na raia na baada ya kuoana jamaa akaenda kupiga kozi ? Jamaa ana elimu ya diploma hiyo imekaaje mkuu wanaweza wakaendelea kuishi kama mke na Mme ?
Mwambie kabisa jeshi haliajiri mtu aliyeoa au kuolewa vinginevyo afiche halafu atakuja kuwasilisha nyaraka za ndoa baadae baada ya kupewa kibali cha kuoa/kuolewa. NB;Vitatakiwa kuwa ni vya wakati huoUkumbuke CV zako za maombi ya kazi zinatakuwa ueleze kama umeoa au umeolewa ,siju utaziweka na kama umeziweka sijui kama watakupokea.
Sasa unaambiwa inawezekana unakataa, ulileta huu uzi kwa ajili ya kujaza server za jf na sio kuhabarishwa ?Nasikia haiwezekani ngoja wajuzi wa mambo waje watujuze zaidi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwambie kabisa jeshi haliajiri mtu aliyeoa au kuolewa vinginevyo afiche halafu atakuja kuwasilisha nyaraka za ndoa baadae baada ya kupewa kibali cha kuoa/kuolewa. NB;Vitatakiwa kuwa ni vya wakati huo