Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
1760300911211.png

1760300978925.png
 
Attachments

  • 1760301198569.png
    1760301198569.png
    73.3 KB · Views: 19
Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
View attachment 3487725
View attachment 3487727
Kwenye jukwaa la siasa leo GTs tumefikia kujadili kufanana kwa Ridhwan na Abdul?
Ni kuwa tumeishiwa fikra za kujadili siasa au michango ya mjadala huu utaleta tija kuelekea uchaguzi?
Tatizo kuna maisha baada ya uchaguzi, tuwe watu wastahamilivu hata kama kuna mambo tunayaona yapo kinyume na utashi wetu.
 
Ndo ushangae ni ujinga mtupu
 
Rais Samia Suluhu Hassan ana watoto wawili pamoja na mumewe, Hafidh Ameir. Watoto wao ni:

  1. Wanu Hafidh Ameir – ndiye mtoto wao wa kike, na ndiye anayejulikana zaidi kwa umma. Yeye pia ni mbunge wa Bunge la Zanzibar, akiwakilisha chama cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  2. Ameir Hafidh Ameir – ni mtoto wao wa kiume, ambaye hana umaarufu mkubwa wa kisiasa kama dada yake. Maelezo yake binafsi hayapo sana kwenye vyombo vya habari, kwani yeye anaishi maisha ya faragha zaidi.

Kwa hivyo, Samia Suluhu na mumewe wana watoto wawili: Wanu na Ameir.

Kwa hivyo Huyu Abdul mnaemsikia na wa kike mwingine anaeitwa Mwannu......MSINIULIZE BABA YAO NI NANI!
 
Back
Top Bottom