Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,172 Reaction score 1,490 Aug 9, 2022 #1 Mimi ni mdau mkubwa wa kusikiliza muziki kuna hii brand ya JBL nimeiona hawa wanamuziki muzuri Sana Lakini nimevutiwa na HIZI model zao JBL flip 5 na JBL flip essential IPi Bora yenye muziki muzuri Kati ya hizi na je unawezaje fahamu kama fake au OG Nawasilisha Pichani ni JBL essential
Mimi ni mdau mkubwa wa kusikiliza muziki kuna hii brand ya JBL nimeiona hawa wanamuziki muzuri Sana Lakini nimevutiwa na HIZI model zao JBL flip 5 na JBL flip essential IPi Bora yenye muziki muzuri Kati ya hizi na je unawezaje fahamu kama fake au OG Nawasilisha Pichani ni JBL essential
K Kizibo255 JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 516 Reaction score 377 Jul 30, 2023 #2 Nenda na JBL 5 japo essential sijawahi kuitumia ila flip 5 habari nyingine