MARA YA MWISHO NILIONA MTANDAONI ZOOM TANZANIA SASA MADUKANI SIJAJUA NI WAPIWakuu mambo vp
Ebwana nmekutana juzi na hizi wireless speaker zinapiga hatari...
Sasa kwa hapa bongo naomba kujua naweza kupata kweny maduka gani?
![]()
![]()
Hapa bongo nyingi ni fake mkuu, jaribu kucheck online View attachment 748225
Mama Debora naomba uelewe,... mtu anaweza kukisifia kitu kwaajili ya kujiliwaza. JBL original kuuziwa hiyo bei haiwezekani.Kuna mdau kasema hapo juu kuwa yake alinunua kariakoo 30,000 tu. na mziki wake mnene.
wewe una maoni gani kaka
JBL org haiwezekani kuuzwa iyo Bei labda kama ni ya uwiziKuna mdau kasema hapo juu kuwa yake alinunua kariakoo 30,000 tu. na mziki wake mnene.
wewe una maoni gani kaka
Hii online uliipata kwa shilingi ngapi?Hapa TZ usipokuwa makini utapgwa sana. Halafu kingine wa TZ wengi wanapenda vitu bei kitonga. Mm asilimia kubwa ya bidhaa zangu naziagiza online maana kule kupata kitu OG ni zaidi ya asilimia 90.
View attachment 1069525
Hii online uliipata kwa shilingi ngapi?
Amesema laki nane. Wewe unaweza kutoa pesa hiyo kwa kidude hicho!!!
mkuu kila mtu na mapendekezo yake,ila kwangu mimi kwa hiyo laki 8,laki pesa nyingi sana kwa usawa huuUS $125Hii online uliipata kwa shilingi ngapi?
US $125
Amesema laki nane. Wewe unaweza kutoa pesa hiyo kwa kidude hicho!!!



Amazon,... Sema hii si recommend sn coz hii Pill wanatumia lighting cable kama hauna iPhone charger inasumbua. Kama budget yako ipo chini ya $100 chukua JBL Flip 4Bei ya kawaida,ulinunulia ebay?
Amazon,... Sema hii si recommend sn coz hii Pill wanatumia lighting cable kama hauna iPhone charger inasumbua. Kama budget yako ipo chini ya $100 chukua JBL Flip 4
View attachment 1069779
we jamaa bwana, eti 'kidude' 😀Amesema laki nane. Wewe unaweza kutoa pesa hiyo kwa kidude hicho!!!