Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

ila kwa miaka 9, amekoma ubishi. ameumiza moyo, adhabu tosha ya kuiba wake za watu. alipora ndoa ya mwenzake akajaribu kuipalilia kwa miaka 9 akaishi kwa machungu na majuto hadi alipoachia. anatapatapa tu na anayemtumia kwa kimuziki.wanawake mjifunze.
 
Wanaotokwa mapovu humu Ni wanaume wenzangu haahahha jamani tuvumilie tu, namuunga mkono jide huo ni ujasiri. Na hakumuiba gadner sbb siyo zombie wa kupelekesshwa, he followed his heart at that particular time.
 
Andika unachotaka ila Mungu achunguzaye mioyo ndo atakushughulikia.
Tutakuona hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…