Jay Z's Hypocrisy?

Kiranga, i know what you say lakini hakikunizuia kuanzisha huu mjadala simply kwasababu messagge yake kuhusu kutokulitamka a "B" word ina different impacts on different fans.

Unadhani impact yake ni sawa accross the board when it comes to his fans?

Huyu mtu ana long visions pia, anajituma sana kuisadia Afrika na yeye na jaluo mawasiliano everynow and then, nadhani alishawahi kubrag kwenye mpini wake mmoja kuwa huwa wana chat sana thru their blackberries, so wengine wanaweza kudhani ana political ambitions and so forth.

Na kuna upande ambao hawajali what he says or not, ie you, na kuna ambao wangefurahi kama angeendelea na a B word.

Mimi nawalenga zaidi kundi la kwanza.

Pili, kwasababu huyu nu msanii, na pia mwanaharakati mwenye washauri, then mara nyingi maneno yake yana malengo, na pia yatakuwa criticised.

Sisi wengine tunataka kuchokonoa ili tujuwe...

Sitaki kuamini kwamba ameutambua umuhimu wa kutokulisema hilo neno baada ya kupata mtoto wa kike persee, vipi hakuwarespect mama yake mzazi and B herself?

Mhn! Labda angeiwakilisha kivingine?

Bottom line jamaa kashasema

1. He doesn't follow any guideline.
2. He changes styles every two rhymes

Kwa hiyo hata leo akiamua kurudia kutumia the B word sitamshangaa, kashasema anaweza kufanya hivyo.

Si ndiye huyu alisema ka retire tukaona karudi kurekodi album tena? Kashasema hana guideline na anabadilika kumshinda kinyonga, sishangai.

Kwa hiyo simshangai Jay-Z, nawashangaa wanaomshangaa.
 
Bottom line jamaa kashasema

1. He doesn't follow any guideline.
2. He changes styles every two rhymes

Kwa hiyo hata leo akiamua kurudia kutumia the B word sitamshangaa, kashasema anaweza kufanya hivyo.

Si ndiye huyu alisema ka retire tukaona karudi kurekodi album tena? Kashasema hana guideline na anabadilika kumshinda kinyonga, sishangai.

Kwa hiyo simshangai Jay-Z, nawashangaa wanaomshangaa.
Ok miss, ndiyo maana nikaweka "?"

Otherwiswe i aggree.
 
Back
Top Bottom