central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 150
- 218
Chid Benz aliwika muda mfupi na hakua na Ngoma nyingi maana alikua na kolabo nyingi Sana nazani alijasahau Sana.... Ila kwenye huo muda aliua Sana...Sina shaka na uwezo wa Chid Benz. Kwenye Greatest rappers wangu wa muda wote anachukua namba 5.
.
.
Wengi wanasema Collabo yoyote akiwemo Chid Benz hawezi kufunikwa kamwe.(Hapa nakataa kidogo)
.
.
1.UKISIKIA PAAH YA JCB,FID,Q,JAY MOE NA CHID BENZ.
Humu Chid Benz alifunikwa vizuri tu na Juma Mchopanga. Jay Moe alifunikwa wote humu..
2.GEEZ MABOVU MIMI FT JAY MOE,FID Q NA CHID BENZ.
Humu alifunikwa tena..Jay Moe alibamiza sana. Na akafunika wote.
3.MCHIZI WANGU REMIX. Kulikuwa na vichwa vingi, Chid Benz pia alifunikwa na nampa tena Heshima Jay Moe. Jay Moe humu alifunika kwa maono yangu..
4.SPEED 120. Alifunikwa na Cowbama.
Zipo Collabo kibao za Hip Hop ambazo Chid Benz kafunika lakini hizo kakimbizwa sana tu.
NAONGOPA??
#forgive me.
Aisee kweli usimjudge mtu. Nakuonaga ukiwa unawapa kauli ngumu ngumu watu, najuaga swahili flani hivi. Kumbe unakili na unamuda wakumsikilza Moe technic.Jay Moe a.k.a Moe Technics, Superman, Mawazo,
Yupo njema sana
Huyo Jay Moe ni mzungu? unaelewa nini kuhusu Uswahili? Hujui kama Waswahili ndio waliowafundisha ustaarabu wa kuishi na lugha nyie wabembe.Aisee kweli usimjudge mtu. Nakuonaga ukiwa unawapa kauli ngumu ngumu watu, najuaga swahili flani hivi. Kumbe unakili na unamuda wakumsikilza Moe technic.
Aiseee bravol mkuu
HayaHuyo Jay Moe ni mzungu? unaelewa nini kuhusu Uswahili? Hujui kama Waswahili ndio waliowafundisha ustaraabu wa kuishi na lugha nyie wabembe.
Ila dream queenHuyo Jay Moe ni mzungu? unaelewa nini kuhusu Uswahili? Hujui kama Waswahili ndio waliowafundisha ustaarabu wa kuishi na lugha nyie wabembe.
Ktk nyimbo ya Wateule - Tumerudi tenaJay Moe a.k.a Moe Technics, Superman, Mawazo,
Yupo njema sana
Si wanamuziki hawa, wababaishaji tu mitaani. Una miaka mingapi wewe, au umezaliwa 2000 na kumi na ngapi?Sina shaka na uwezo wa Chid Benz. Kwenye Greatest rappers wangu wa muda wote anachukua namba 5.
Wengi wanasema Collabo yoyote akiwemo Chid Benz hawezi kufunikwa kamwe.(Hapa nakataa kidogo)
1. UKISIKIA PAAH YA JCB,FID,Q,JAY MOE NA CHID BENZ.
Humu Chid Benz alifunikwa vizuri tu na Juma Mchopanga. Jay Moe alifunikwa wote humu..
2. GEEZ MABOVU MIMI FT JAY MOE,FID Q NA CHID BENZ.
Humu alifunikwa tena..Jay Moe alibamiza sana. Na akafunika wote.
3. MCHIZI WANGU REMIX. Kulikuwa na vichwa vingi, Chid Benz pia alifunikwa na nampa tena Heshima Jay Moe. Jay Moe humu alifunika kwa maono yangu..
4. SPEED 120. Alifunikwa na Cowbama.
Zipo Collabo kibao za Hip Hop ambazo Chid Benz kafunika lakini hizo kakimbizwa sana tu.
NAONGOPA??
#forgive me.
Jamani Rey [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960]Ila dream queen
[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sanaaaa, mwamba anajua,Ktk nyimbo ya Wateule - Tumerudi tena
Mle Moe katembea sana,, ile verse ametaja a.k.a zake
Alafu kuna hiiSanaaaa, mwamba anajua,
Kuna hii ya kizazi hiki akaitoa 'Nisaidie Kushare' hapo nilimpa salute
Edward lowassa. Elimu,Elimu,Elimu.Si wanamuziki hawa, wababaishaji tu mitaani. Una miaka mingapi wewe, au umezaliwa 2000 na kumi na ngapi?
Ha ha haEdward lowassa. Elimu,Elimu,Elimu.