mungu awazidishie na muepuke kurudia uchafu wa nyuma
watu wengi wakioa wanajisahau na kukimbilia ma xxx wee huna adabu unaewafata hawa
roho ya uzinzi ikukimbize kabisa
Tunashukuru MUNGU kwa kila jema alilotujaalia mpaka muda huu, pumzi ya uhai ndio kitu kikubwa kuliko vyote.
Milima na mabonde, vizingiti na mito, maziwa bahari kwa uwezo wake tu tutavuka. Miaka 5 ya urafiki na miaka 5 ya ndoa. 5+5 = Jumla 10 Tumeshakuwa kama kaka na dada, more than friends Mimi nahesabu bado miaka 35 nifikie malengo kama ile anivessary nilioipost juzi Itimie miaka 40 au ikibidi hata 50
Nawatakia maisha mema na Mungu awajalie mkae miaka mingi na mpate watoto
Hongereni na Mungu akawabariki. Akawafungulie milango ili nanyi mpate pia kuijaza dunia kama ilivyo ahadi yake ya zaeni mkaongezeke mkiwa Mume na Mke wa Ndoa!