Javascript For Beginner In Swahili

unaonaje kamà ungeanga somo kuhusu hayo machache unayoyajua
 
kitabu bado hakija isha lengo la kufungua hii thread mampema ni kujua kama ntakua nawatu wengi watakao pakua hiki kitabu au ndo muda wangu ntakua nimeupoteza bure. but very soon kitaisha na hili ndo jukwaa lake.
Ukikiweka nitag, nikidownload!
 
Ni idea nzuri kwa maana kwa mtu ambae kusoma hundreds of pages kwa kiingereza inakua sio comfortable kwake!
Na ni rahisi kutia mkazo kwa kiswahili mbongo hakakuelewa ukilinganisha mkazo huo kwa kiingereza!

Lakini pia jiulize swali lingine,Je, tatizo ni kuwa watu wanashindwa kusoma vitabu vya kiingereza ili wapate ujuzi?

Mimi jibu langu ni hapana tatizo lipo kwenye Uvivu wa kusoma vitabu i.e Anorexia for Knowldge
 
Mkuu naomba uangalie matumizi ya l na r vizuri ili kwa msomaji isiwe tabu na aelewe vizuri. Pia nimeona umetumia neno compyuter sijajua ni typing error au umekusudia hivyo.
But all in all kazi nzuri.
 
Mkuu naomba uangalie matumizi ya l na r vizuri ili kwa msomaji isiwe tabu na aelewe vizuri. Pia nimeona umetumia neno compyuter sijajua ni typing error au umekusudia hivyo.
But all in all kazi nzuri.

Hii ni typing error pia nitoe shukrani zangu za dhati kwani wew pekyako ndo ulioweza kugundua kama kuna hili tatizo, asante sana na ntarifanyia kazi.
 
Hii ni typing error pia nitoe shukrani zangu za dhati kwani wew pekyako ndo ulioweza kugundua kama kuna hili tatizo, asante sana na ntarifanyia kazi.
L na R ni tatizo kubwa kwako. Wengi tumeona ila hatukutaka ku-dwell kwenye subtle technicalities.
 
Big up san kaka.
 
Mkuu niliisoma Java yote vizuri hamu yangu imekuwa kutengeza apps zangu.

Kwa bahati mbaya sikupata muda na C++ ambayo nilielewa ndiyo ingeweza apps zangu.

Ninazo resources nyingi za Java za rmit. Kamchina kangu hakinipi kutuma pm naomba nipm tuwsiliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…