frankgalos
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 223
- 100
hahah ujapata idea ambayo inayo kulazimu kujua kitu ndo iweze kukamilika bt ungepata hizo zote zingekua kichwani now.Programming kwangu imekaa kushoto kabisa....
Huwa najaribu kupitia pitia Java, Javascript, PHP, Python na C/C++ lakini waapi....
Mimi niko nduki sana kwenye issues za IP... Nakimbiza balaa....
VLAN, VPN, MPLS/VPN, DNS, DHCP, Firewall, MGW, UGW, HLR, HSS, OCS, GGSN, SGSN...
Ebanaeee niko fiti....
Acha maneno weka kitabu tudownloadMwaka huu nime balikiwa na mawazo mengi ambayo yamefanya kichwachangu kuvurugika nikifikiria ni jinsi gani naweza kuisaidia jamii yangu kiujumla. Ndipo nikaja na wazo hili la kuandika kitabu.
Lengo la kuandika hiki kitabu nikwasababu watu wengi wanapenda kufanya au kutengeneza program za kwao nasio kutumia source code za wengine sema wanashindwa kwasababu elimu waliokua nayo juu ya hiko kitu wanacho kitengeneza ni ndogo kwaiyo kuwa nauwezowakuelewa na unachokifanya ndipo unapokuja kutengeneza chakwako.
Hiki kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili kabisa na pia kitakua laisi sana kwa msomaji kwani javascript ni raisi kuisoma na kuielewa.
Natumaini kikiisha ntapata marafiki wengi ambao wanapenda sana keyboard kuliko kulala.
Kwaiyo kama unapenda kuongeza ujuzi au kujua javascript karibu kwani elimu hainaga mpaka hii ni kwa watu wote waliokua interested na programing in javascript.
View attachment 489924
kitabu bado hakija isha lengo la kufungua hii thread mampema ni kujua kama ntakua nawatu wengi watakao pakua hiki kitabu au ndo muda wangu ntakua nimeupoteza bure. but very soon kitaisha na hili ndo jukwaa lake.Acha maneno weka kitabu tudownload
Nataka kama wewe muwe wengi ili mbust kuisha kwa hiki kitabu.Tyko pamoja
Hapo mnanipa speed, nashukuru Kujua kama mpo mnaopenda teknologiakikiisha usisahahau kuniita na mm nije kupakuwa
Kwani gtranslator inatatizo Gani???Ila usitumie google translator
Kujua maana ya kit kwa lugha yako inakupa ulaisi wa kukielewa, so hiki kitabu kinamfundisha mtu kuelewa zaidi na sio kua maana ya vitu husika vitapotea hapana. Hataivo error message inaweza kuwa printed kwa kiswahili. Na syntax zikabak kama zilivo. Tz alafu sio kila mtu anaependa teknologia anajua kiiengeleza, so itakua laisi kwake hatakujua kwamba kila kitu ki na wezekana. Hope ntakua mimetoa hiko kikwazo kwake.Unamfundisha mtu language kwa lugha ya Kiswahili ilhali Javascript yenyewe ni primarily English! Error messages zote atapewa in English! The language constructs, API and documentation are primarily in English!
Why did you think this would be a good idea?
Kiswahili ni immature. Unafikiri JavaScript V8 engine imewekewa Locale ya Kiswahili ili error messages ziprinitiwe kwa Lugha hiyo? Hapana.Kujua maana ya kit kwa lugha yako inakupa ulaisi wa kukuielewa, so hiki kitabu kinamfundisha mtu kuelewa zaidi na sio kua maana ya vitu husika vitapotea hapana. Hataivo error message inaweza kuwa printed kwa kiswahili. Na syntax zikabak kama zilivo. Tz alafu sio kila mtu anaependa teknologia anajua kiiengeleza, so itakua laisi kwake hatakujua kwamba kila kitu ki na wezekana. Hope ntakua mimetoa hiko kikwazo kwake.
Mimi hayo yote uliyoyataja sijui hata moja. Mambo yangu ni C++, Octave/ Matlab na Python. Interested zaidi na MACHINE LEARNING na ARTIFICIAL INTELLIGENCEProgramming kwangu imekaa kushoto kabisa....
Huwa najaribu kupitia pitia Java, Javascript, PHP, Python na C/C++ lakini waapi....
Mimi niko nduki sana kwenye issues za IP... Nakimbiza balaa....
VLAN, VPN, MPLS/VPN, DNS, DHCP, Firewall, MGW, UGW, HLR, HSS, OCS, GGSN, SGSN...
Ebanaeee niko fiti....
Hapo mnanipa speed, nashukuru Kujua kama mpo mnaopenda teknologia