material na sehemu za kujifunza zipo nyingi sana online,kama ulivyowza kuja jf na kuanzisha thread unge search kwenye google ungepata sehemu kibao.Nenda w3schools au tizag.com pia unaweza search video you tube on java script .Wadau nahitaji kujifunza hii lugha, ninachohitaji kwa aliyewahi jifunza anisaidie wapi na mimi nitapata huo ujuzi online ili ni niimaster hii language