Kumbe hela haitafutwi? Inategwa

Kumbe hela haitafutwi? Inategwa

OddBall_

Member
Joined
Nov 8, 2026
Posts
86
Reaction score
128
For a lifetime tumeambiwa kuwa pesa inasakwa,

utasikia wanaume, "tafuta hela achana na wanawake" like pesa ni kama dhahabu inakwenda kuchimbwa.

Guys, it's a sad truth Ukisema tutafute pesa, utaitafuta maisha yako yote na hautaipata..

Mimi mwenyewe nini elewa hiyo concept hivi karibuni. Na ni nataka kuanza kuiapply vyema, so wadau wenye maana nzuri ya huo msemo na analytical language toeni ufafanuzi..

Binafsi nilimsikiliza hanscana akiongea na kusema mfano...

Anaye kwenda mgodini kuchimbwa dhahabu, anakuwa na probability ya kupata au kukosa... Ila yule muuza chemicali au acid za kusaidia kwenye uchimbaji kwake lazima atauza kila siku. Maana wachimbaji watakitumia regardless. Inamake sense ila ni kama haiwezi kueleweka kirahisi...

Naomba wenye wanajua undani wa hii concept waje watoe ujuzi waje watoe miongozo.
 
Achana na motiveshen mkuu, fanya b
B2B busines. Jamaa anakupa principle zinazosema bidhaa fulani iwe isiwe itanunulika tu. Hao ni wale wanaouzaga hata vyakul wamidai mtu lazima ale tu.. lakin ni nani unaemjua wew tajri anauza bidhaa za ajna hiyo peke yake?. Wote wanashea in common 1. Congromelation na 2. B2B busines!

Hiyo ndo code nzima. Ukishoot video ni B2B mana yule anaeshut kwako nae anauza. So kesho anarudi, mmatengeneza bond ambayo product yake ni nenda kauze kesho urudi.
 
Pesa inatengwa. Anzaa kwa kuandaa mifumo, weka mikakati dhabiti baada ya muda utaanza pesa inaingia yenyew smothly
I think so, watu wengi huwa wanadhani ni uongo mpaka pale mtu atakapo kuwa na mifumo yake alivyo is eti kwa muda mrefu.

The problem is the right strategy mkuu, ndo kitu nacho jaribu kutafuta with this post of mine
 
Usiombe ukutane na motivational speaker mwenye soli iliyolika upande akifafanua hii hoja.

Anyways, tafuta hela mkuu, kinachotegwa ni ngedere na digidigi huko porini, pesa inatafutwa tena kwa nguvu. We huoni mama abduli hadi kaua maelfu ilimradi asikate mirija ya upigaji.
Uko sawa kwa upande mmoja wa shilingi mkuu. We huoni matajiri wote! They're not hustling.
 
Achana na motiveshen mkuu, fanya b
B2B busines. Jamaa anakupa principle zinazosema bidhaa fulani iwe isiwe itanunulika tu. Hao ni wale wanaouzaga hata vyakul wamidai mtu lazima ale tu.. lakin ni nani unaemjua wew tajri anauza bidhaa za ajna hiyo peke yake?. Wote wanashea in common 1. Congromelation na 2. B2B busines!

Hiyo ndo code nzima. Ukishoot video ni B2B mana yule anaeshut kwako nae anauza. So kesho anarudi, mmatengeneza bond ambayo product yake ni nenda kauze kesho urudi.
B2B business? I'll have to do my research on it
 
Jifunze kuskiliza mtu ukamuelewa, kwa alichoongea Hanscana Richard na wewe ulivoongea yawezekana hukumsikiliza vizuri.

"Mfano leo ukiambiwa migodini kuna hela means watu wengi watakimbillia kuchimba madini lakini wewe jitofautishe kwa kutega hela kupitia wanaochimba madini means uwauzie material na kemikali zitakazowawezesha kufanya uchenjuaji" alisema Hascana.

Kwa kuongezea;
Baada ya kuona watu wengi wamepata machimbo ya bidhaaa za bei kitonga China Counselor salah yeye hajaamua kuchukua bidhaa ila kaja na idea ya kuwasafirishia bidhaa wafanyabiashara kupitia Silent Ocean.

Baada ya vijana wengi kukimbilia Music Industry Hanscana aliamua kuwekeza kwenye kuwatengenezea video wasaniii.
 
Kutega hela sio kwamba hufanyi kazi, no unafanya kazi ila sio ya wewe kutafuta hela, una tengeneza mfumo ambao kila hela itapitoa kwako...

Yaani ni kwamba sio kuwa nguvu zako itakuwa converted into money, but money will just flow thru your system. Ni kama link fulani kati ya watafutaji hela..

Hanscana nilimsikiliza vizuri sana.. Na aliacha video directing baada ya kuona he was just chasing cash without having any environment to keep the cash. Alikuwa kwenye loop ya utafutaji
 
Back
Top Bottom