Jasiri Haachi Asili

Jasiri Haachi Asili

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
obama-in-kenya-e1418250059937.jpg
 
Mkuu Amavubi na wengine naomba muwe mnaema 'mjaa asili haachi asili'
na sio 'jasiri'
jasiri ni sawa na kusema 'a brave' person
hai make sense

hii methali inakosewa sana

ni 'mjaa asili haachi asili'
 
Last edited by a moderator:
Amepaboresha hapo kwa bibi yake?,tangu aingie white house ameshatembelea Kenya?,maana wakenya walimaindi Sana Mr President alipofanya ziara bongo na kuiacha Kenya!...
 
Mkuu Amavubi na wengine naomba muwe mnaema 'mjaa asili haachi asili'
na sio 'jasiri'
jasiri ni sawa na kusema 'a brave' person
hai make sense

hii methali inakosewa sana

ni 'mjaa asili haachi asili'

Dah... asante sana The Boss!

Ni jana tu nilikua nataka kuitumia hiyo methali sehem nikashikwa na utata jinsi ya kuitamka maana niliona haileti maana....lakini jamaa niliyekua nae akanisisitizia kuwa ni "jasili aachi asili" hapo alinivuruga kabisa nikaacha hata kuitumia nikiwa bado naumiza kichwa kuwa msemo huu ni wa kilugha au vipi mbona sipati maana...???

At last umenijibu kiu yangu aisee...."Mjaa asili aachi asili"....kweli inaleta maana sasa!
 
Karibu mkuu
na wewe ukamuelimishe pia yeye na wengine
 
Mkuu Amavubi na wengine naomba muwe mnaema 'mjaa asili haachi asili'
na sio 'jasiri'
jasiri ni sawa na kusema 'a brave' person
hai make sense

hii methali inakosewa sana

ni 'mjaa asili haachi asili'

Kama watu wanapokosea kusema "Msafiri Kafiri" wakati usahihi ni "Msafiri Kakiri"
 
Last edited by a moderator:
amepaboresha hapo kwa bibi yake?,tangu aingie white house ameshatembelea kenya?,maana wakenya walimaindi sana mr president alipofanya ziara bongo na kuiacha kenya!...
kkuna namna nyingi za kuboresha, halafu ukumbuke hakuomba urais ili apaboreshe hapo kwa bibi yake
 
Back
Top Bottom