samtz1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 1,197 Reaction score 1,372 Jan 22, 2016 #101 Jana nimelisoma nimecheka sana lodilofa agundua gari inayotumia uji wa muhogo
Nyanidume JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,411 Reaction score 1,153 Jan 22, 2016 #102 Spider said: wale mapacha mmoja aliitwa sunche na mwingine kapeto.bila kumsahau ndumilakuwili,bob makani,pampula,etc Click to expand... Yaani nimecheka mpaka basi! Nadhani ulimaanisha Bob Mazishi!
Spider said: wale mapacha mmoja aliitwa sunche na mwingine kapeto.bila kumsahau ndumilakuwili,bob makani,pampula,etc Click to expand... Yaani nimecheka mpaka basi! Nadhani ulimaanisha Bob Mazishi!
City Owl JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 3,783 Reaction score 8,341 Jan 22, 2016 #103 Mish Albert said: Hivi 'Kaboka Mchizi' Ni character kutoka gazeti gani? Click to expand... Lilikuwa gazeti linaitwa kasheshe. Tumeimba sana kuhusu kaboka mchizi enzi tuko machalii
Mish Albert said: Hivi 'Kaboka Mchizi' Ni character kutoka gazeti gani? Click to expand... Lilikuwa gazeti linaitwa kasheshe. Tumeimba sana kuhusu kaboka mchizi enzi tuko machalii
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,261 Reaction score 18,265 Jan 22, 2016 #104 NimewaMiss Dr. Love Pimbi, Prf.Ndumila kuwili na Komredi Kipepe.
E edicom Member Joined Oct 4, 2011 Posts 11 Reaction score 5 Jan 22, 2016 #105 mwanga lutila said: Mkuu una miaka mingapi?... Utakuwa ulihadithiwa. Click to expand... Bush star na Born town walikuwa Sani enzi hizo mtunzi na mchoraji alikuwa John Kaduma hivi sasa ni marehemu
mwanga lutila said: Mkuu una miaka mingapi?... Utakuwa ulihadithiwa. Click to expand... Bush star na Born town walikuwa Sani enzi hizo mtunzi na mchoraji alikuwa John Kaduma hivi sasa ni marehemu