Jaribu kujiuliza..

Jaribu kujiuliza..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Hii nyimbo inanisisimua sana, japokuwa ni ya mda kidogo, ila mashairi yake yanaugusa sana moyo wangu ,hadi mda mwingine natamani kulia, kaiimba kala Jeremiah I think , kamshirikisha marry Lucas, uwa napenda hii sehemu anayoimba huyu bidada..
"Jaribu kujiuliza, jaribu kujiuliza...
Je? Ungekuwa Mungu ..
Je ? Ungekuwa mungu eeh..
je ? Ungelisha ndege angani wee..
Je? ungetupa pumzi bure wee.."
I love this part ,though it might sound ridiculous, but it touches my heart, I feel this song, salute to kala...
 
Uko sahihi mkuu.yani ukikaa chini na kujiuliza utaona kwel Mungu angekuwa mtu angekuwa ameshastafu kazi kutokana na kuchoshwa na maombi ya watu wake.big up kala
 
Back
Top Bottom