Jaribu kufikiria kama rais wa sasa ndiye angekuwa rais wa kwanza wa Tanganyika

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,856
5,086
teh teh teh !

Rais nyerere Mungu ailaze mahali pema peponi amina! ulipotutoa hakika unastahili pongezi zisizo na kifani. asingekuwa wewe ...............

swali linahitaji majibu wanajf
 
Angekuwa bado anatawala mpaka sasa hiv. Na hali ingekuw mbaya sana
 
In short......Tanzania isingekuwa kwenye kundi la Third World......naamini tungekuwa Second World tunaitafuta First World.
 
Back
Top Bottom