Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #101
siendelea tena.... siyo sababu nimeshindwa, ila sitaki kukupunguzia heshma uliyojiwekea kwa wajukuu hapa..... maana wengi wakiona nimeku-beat nao wataanzisha mpambano.......Nazidi kukushangaa jinsi unavyodai visivyo halali yako..........
Ukiendelea sasa hapa itabidi niweka nakala ya passport ya mtu ili watu wajue kwamba huna chako hapa...
Babu DC!!
ha haaa, hakikisha yale ma-wrap yapo mlangoni, unatoka nalo huku unavaa
ha haaa, mtani kuwa uyaone....Kweli wakubwa mnafaidi
ha haaaa, kwani hakuna mapazia mtani?Mtani kuna vijitu kazi yao ni kupiga chabo...sasa ukilala na hizo bidhaa zenu...mtaani ni full watu kuwazungumzia
hapana aisee mi na chupi hapana bora nikufehivyo vigauni huwa pia vina vichupi vyake..... jaribu siku nyingine kuvaa na chupi
ha haaaa, kwani hakuna mapazia mtani?
ha ha haaaa...... hutaki majotrohapana aisee mi na chupi hapana bora nikufe
nimeona mtani.... basi kazi ipo kama hivyo, lol!Soma tena post yangu kuna maneno nimeongeza...
Mapazia yapo lakini raia wanatembea na spoko...pazia linasogezwa kando...
Nazidi kukushangaa jinsi unavyodai visivyo halali yako..........
Ukiendelea sasa hapa itabidi niweka nakala ya passport ya mtu ili watu wajue kwamba huna chako hapa...
Babu DC!!
wapewa raha na babu yakheeeNakuruhusu uweke
Naskia raha
ha haaa, mtani kuwa uyaone....
wapewa raha na babu yakheee
sina raha mwenzio...acha tu nitakufa anytimeKonnie anamrusha roho babu, hahah
ha haaa, komaa mwenyewe mtaniItabidi watani zangu mnitafutie wa kukua naye...hahaha
ila kiukweli nusu-u.chi inapendeza zaidi kuliko utupu au full minguo!!!!!
Ruksa kuchangia Kaizer......
kwani wewe unapendaje? maana unajua nyie ndo walengwa haswaaaaa..... na tunavyojuaga kuwatii, ukisema hii sitaki tunaacha mara moja.
cc. Dark City