Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #61
la muhimu ni kujipatia pattern tu, mambo ya bei gani huwa hayahusiki kiviileeee....kuna nguo za gharama kubwa na nguo zilizo kwenye fashion!!!
mfano mie nna tufimbo twa miguu tumepindapinda afu nikavae hizi skintyte jamani za siku hizi..........si nakuw akituko mbele ya jamii....................
ukijipatia mikato, hata iwe kama gunia utapendeza tuuu!!!
hicho cheo kinakufaa sana bestUnanipa libonge la cheo na maujiko wenyewe wakijua mimi sio mama mchungaji watakemea pepo nakwambia. Mimi simo halafu ulishasema mdogo wako kaacha mazoezi na hawezi tena kukugombelezea .
Kuna miili mingine kila vazi linakataa.
nusu utupu ina mvuto wa pekee!!
au kikanga laiiiini ukitupia balaa tupu!!
nusu utupu ina mvuto wa pekee!!
au kikanga laiiiini ukitupia balaa tupu!!
Au kimtandio chepesiiii
Anakuwa na hamu ya kutizama kimefichwa nini?
Jamani jamani! Haya bhana....
Passion Lady yaani we hujui ulichonifanya?
kulikoni Eli79
nimekuchokoza??
​mi thijui bana niambie!!Passion Lady yaani we hujui ulichonifanya?
​mi thijui bana niambie!!
Asante Nivea, ni bora kutopoteza muda wa kuvuana. Afterall usiku ni giza hivyo huwezi kuona nguo kama ni romantic. FP kulala na nguo nomakusema kweli mimi sivaagi kikorombezo na mume wangu hataki ni uchi kwenda mbele akitaka kusuuza rungu yake hapotezi muda huwa nawazaga siku tukikurupushwa mwizi hahahahah itakuwa sooo
ha haaa, kwani mnalala giza totoro?Asante Nivea, ni bora kutopoteza muda wa kuvuana. Afterall usiku ni giza hivyo huwezi kuona nguo kama ni romantic. FP kulala na nguo noma
hivyo vigauni huwa pia vina vichupi vyake..... jaribu siku nyingine kuvaa na chupiKigauni cha kimitego bila chupi ndo mpango mzima
uchi kabisa hapana mi siwezi kwa kweli
ha haaaaa, siyo hivyo Toria....Kwahyo kwa sisi single tunaovaa hivi vijinguo tunavimis-use au maana hakuna tunaowatega
pink ni rangi inayodatisha sana piaDaaaaaa !! huwa nadata sana na rangi za pink !!
mhhhhh uchi unatisha jamanikusema kweli mimi sivaagi kikorombezo na mume wangu hataki ni uchi kwenda mbele akitaka kusuuza rungu yake hapotezi muda huwa nawazaga siku tukikurupushwa mwizi hahahahah itakuwa sooo