Jaribu hii



....wengine wakienda shopping wanasahaau kabsaa kununua nguo hizi muhimu za usiku wa faragha...wanawaza atapendezaje ofisini anasahau kuwa sehemu kubwa ya kupendeza kwake inatakiwa pia kitandani....HATA DUME liwe na hasira kiasi gani pozi la hizi nguo litamlegesha tu...si ajabu akaanza kuomba msamaha ili khali hajafanya kosa
 
ha haaa, ni kama vile baadhi ya watu wanavyojisahau kununua nguo za ndani wakiamini hakuna anayewaona......
kuna kuumwa ghafla, au kusukumwa na mkokoteni barabarani....
sasa umepiga pamba yako saaafiiiii, ndani balaa, lol!
 
FP hapa naona za wembamba tu, au wanene wanaruhusiwa kuvaa kaptula ya jeans na ki-top?
hahahahahahahahaha jamani .Haya FP toa jibu dear wanene wavae nini. Lkn asante na mie kuanzia june ntanunua kivazi kama ulivyoshauri lkn hofu yangu huyu ndugu si atanichosha maana zamani nilikua navaaa kikaniletea tabu nikaamua kupotezea anyway ngoja nijaribu tena.
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, nimwemwambia wajaribu kanga moko, lol!
wewe jilipue tu rafiki yangu, usiogope kuchoshwa
 
Una maanisha mtu huyo hata avaeje hapendezi. Siamini huenda hajipatii tu nguo inayomfaa na wengine huwa hawapendi kumshauri mtu ndio maana avaapo huonekana kituko. I believe kila mtu anapendeza akijipatia vazi linalomfaa
Ukweli ndo huo. utakuta mwanamke anajitahidi kuvaa nguo za gharama lakini waaapi! shepu yake ina'mlet down.
 
Ukweli ndo huo. utakuta mwanamke anajitahidi kuvaa nguo za gharama lakini waaapi! shepu yake ina'mlet down.
Anakua hajapatia wapo wengi wa hivyo na hii inatokana na wauzaji wa nguo wao wanajali kuuza tu hawatoi ushauri kwa mvaaji. Ni mbaya sana sisi wanawake sijui kwanini hatupendani yaani huwa nachukia ninapoona mdada kavaa cha gharama lkn hakutoka . Naumia sana au labda wauzaji wa nguo wanalack some skills sababu mteja akipendeza lazima atarudi tena.
 
Ukweli ndo huo. utakuta mwanamke anajitahidi kuvaa nguo za gharama lakini waaapi! shepu yake ina'mlet down.
nguo ya gharama siyo kigezo cha kupendeza, ni kuupatia tu mwili wako.
kuna watu hawajui mikato ya nguo wanazotakiwa kuvaa, wanang'ang'ania kuvaa nguo flani sababu kuna mtu kavaa na kapendeza anadhani naye atapendeza.
 
Una maanisha mtu huyo hata avaeje hapendezi. Siamini huenda hajipatii tu nguo inayomfaa na wengine huwa hawapendi kumshauri mtu ndio maana avaapo huonekana kituko. I believe kila mtu anapendeza akijipatia vazi linalomfaa
Ablessed umenena vyema mama pokea malike kibao!
 
Last edited by a moderator:
nguo ya gharama siyo kigezo cha kupendeza, ni kuupatia tu mwili wako.
kuna watu hawajui mikato ya nguo wanazotakiwa kuvaa, wanang'ang'ania kuvaa nguo flani sababu kuna mtu kavaa na kapendeza anadhani naye atapendeza.


kuna nguo za gharama kubwa na nguo zilizo kwenye fashion!!!
mfano mie nna tufimbo twa miguu tumepindapinda afu nikavae hizi skintyte jamani za siku hizi..........si nakuw akituko mbele ya jamii....................
ukijipatia mikato, hata iwe kama gunia utapendeza tuuu!!!
 
huwa namuaminia sana Ablessed kwa kunena.......mama mchungaji, lol!
Unanipa libonge la cheo na maujiko wenyewe wakijua mimi sio mama mchungaji watakemea pepo nakwambia. Mimi simo halafu ulishasema mdogo wako kaacha mazoezi na hawezi tena kukugombelezea .
 
namuunga mkono yule aliyeseme huwa halali na nguo hata mimi nikioa sitaki mke wangu awe analala na nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…