Jaribu hii

Wee FP usinitoe machozi kwa kicheko, mwizi yupi utakayemsikia wa kukupa nafasi ya kukwapua hiyo wrap ili ujisitiri na kutoka mbio?
ha haaa, sasa kama umejivalisha birthday suit utatoka hivyo hivyo?
si lazima utajikwapulia kitu?.
nakumbuka wakati nasoma sekondari boarding kulikuwa na mlio wa kengele ya dharura, sijui bado ipo hii!
ikipigwa hiyo hata uwe wapi, lazima uwahi assembly ground.
wakati mwingine sasa ilikuwa inapigwa usiku wa manane, hapo sasa ndo tulikuwa tunajichekea kwa watu ambao wanalala na birthday suits......
sababu ni dharura na hujui ni nini mnaitiwa yaani ilikuwa ni kutoka mbio.....
umeme shule za serikali ilikuwa mwisho saa 4 baada ya prep wanazima jenereta zao, kwa hiyo usiku kucha full giza.
kwa wale ambao walikuwa hawalali na nguo walikuwa wanatoka na nguo anavaa huku anakimbia, anapofika chini anajikuta au alibeba sketi tupu au blauzi tupu, au sketi na suruali.......
tulikuwa tunacheka sana
 
kwa wale ambao hawana umeme mafuta ya taa beiyake sawa na petroli {Nyumba za tembe} hivyo vigauni watavionaje?, uchiuchi hotae, ndiyo inafaa. ukisikia hamutu unapitisha miguu kwenye uvungu wa mwenzio
 
ha haaa, nimefurahi angalau tumekubaliana kwa hili mkubwa mwenzangu, maana nilitegemea dongo, lol!

Dongo la nini tena mkubwa mwenzangu?

Mie nasubiri unitaarifu kama Umeanza tena kutembea na kikopo..lol!


Babu DC!
 
Dongo la nini tena mkubwa mwenzangu?

Mie nasubiri unitaarifu kama Umeanza tena kutembea na kikopo..lol!


Babu DC!
ha haaaaa, kukamilisha salamu kupitia kwa mwl Gfs?
kwani hakukuambia mimi nimeshawekwa chapa usoni ya ustaafu?
unataka manesi wanikimbize wewe babu?
 
ha haaaaa, kukamilisha salamu kupitia kwa mwl Gfs?
kwani hakukuambia mimi nimeshawekwa chapa usoni ya ustaafu?
unataka manesi wanikimbize wewe babu?

Mbona amenihakikishia kuwa bado unadaiwa kama trip mbili?

Babu DC!
 
Mbona amenihakikishia kuwa bado unadaiwa kama trip mbili?

Babu DC!
mmmmhhhh! kakupiga changa la macho aisee.......
angalia bibi hapo kama anaweza kwenda angalau trip 5 mbele ndo labda na mimi naweza kwenda 1
 
Reactions: BAK
mmmmhhhh! kakupiga changa la macho aisee.......
angalia bibi hapo kama anaweza kwenda angalau trip 5 mbele ndo labda na mimi naweza kwenda 1
Nani kakudanganya kuwa bibi ni mdogo wako?
 
Kila siku utakula mimba

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…