.
Unatamani nawe kubeba bango kama hilo kwangu mimi tamaa hiyo tu ni wendawazimu unahitaji kuombewa pepo hilo likutoke.Yapo mambo ya kuiga na mengine siyo tu tuyakatae bali tuwafundishe na kuwasaidia wanayoyafanya kuyaacha.
Fikiria wewe ni baba au mama wa watoto wanaokutegemea siyo tu kwa chakula bali uwaelekezee waishije wakukute umebeba bango kama hilo kipi utawaambia wafanye na kipi wasifanye?