Jaribio la kuomba hela

Jaribio la kuomba hela

Sasa bora ni yupi kati ya hao 2 uliokutana nao kwenye bus?? Kile kizee kilichokula kobis au huyo domo kaya aliyekubwagiza maneno ya ulaghai ili tu akutoe pichu?
Basi mshukuru yule mmbabu kwani alikaa kwa hishima japo moyoni akiugumia ka mmeza quinine au muarobaini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwi dunia simama nishuke, so na yule Babu naye yaliyomo yamo????
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwi dunia simama nishuke, so na yule Babu naye yaliyomo yamo????
Ingekuwa sivyo mbona hakumpa hiyo nafasi jamaa pamoja na kuziona bashasha zote hizo za jamaa?? Yaani toka dar - dom mtu anakulilia tu. Si naye Babuu alitamani aonje hiyo asali inayomsumbua kijana?? Old is gold while teen is silver
 
Kajiongeza [emoji3][emoji3]
Ukipiga bomu tu mtu anajua hapa sihitajiki.
Hhahahaa uwi dunia in mambo jamani acheni tu

Basi buana juzi Kati natoka dar-dom kwenye siti nimekaa na mtu mzima Sana, no stori Hadi tunafika,mbele Kuna kijana wa makamo ambaye kwenye kiti hatulii Ni Kama anatamani Mzee akaye mbele yeye arudi nyuma tukae wote (wabadilishane),Kila baada ya dakika mbili ananiangalia.
Muda mwingine ikabidi anisemeshe kabisa ,Mambo vipi Safi ,tumefika msamvu tunashuka akasema vipi Safari yani kwa vyovyote anatamani kuongea na Mimi ila nafasi ikakosekana.

Tumefika Dom tunashuka akahakikisha anakaa nyuma yangu wakati wa kushuka akanisalimia vipi waelekea wapi nikamwambia ahha nashukuru nimepata mwenyeji ,unaondoka kwa usafiri gani nikasema boda boda ,tuchukue tax au bajaji usijali nitalipia naenda maeneo hayo hayo unayoenda,ok,sawa nikajibu

Akaita usafiri hao ,njiani naitwa Henry waitwa Nani ,naitwa lady of destiny unafanya kazi wapi nikamtajia ,aah buana nimeamishiwa dodoma uwe mwenyeji wangu daah maisha sijui yatakuwaje basi ghafla nikamwambia Mimi nimefika ok ,basi naomba mawasiliano Mana ofisi uliyopo ndo na Mimi nimehamia,japo nilikuja kujua yupo sehemu nyingine kubwa.

Ok ok bye bye
Kesho badae simu za kutosha ananiuliza unaish wapi,kazi,na maisha yangu kwa ujumla ,nimekupenda na Nini na Nini hivyo
Sasa nikamuuliza familia iko wapi kasema dar ok nikajua huyu tayari Ni mume wa mtu ,ok njoo tuende lunch,njoo sijui tuende wapi,nikagoma Kila nilichoombwa naomba one night nipo tayari kukupa chochote,hutajutia maamuzi yako , tule maisha bwana
Yani ningekuwa mhuni ningemmaliza ,anapiga simu mara zaidi ya 20 per day,usipopokea unaenza kuta mced Cal hata 15 akianza kukutumia sms ukiandika moja kashaandika tano,njoo hapa hotelin nimekumis Yani maneno mengi , ikabidi nimwambie nina familia na Mr kafuma sms zake akapowa kidogo,

Tukaenda hivyo Nikaona hakati tamaa ,ghafla nikamtext sorry naomba uniazime elfu 50 nimepata dharura (sikuwa na shida )ila nilitaka tu kumkimbiza Mana nilishachoka na Sina tabia ya kutembea na watu wenye familia zao

Hadi Leo hiyo sms haijajibiwa ,sijajua kama alikufa au yupo hai
 
Ingekuwa sivyo mbona hakumpa hiyo nafasi jamaa pamoja na kuziona bashasha zote hizo za jamaa?? Yaani toka dar - dom mtu anakulilia tu. Si naye Babuu alitamani aonje hiyo asali inayomsumbua kijana?? Old is gold while teen is silver
[emoji38]
 
unataka elfu 50 njoo uifate sipendagi ujinga mimi na ukija sasa iyo show yake sio ya nchi hii mana nikikumbuka ulivyo kua unanizungusha aki nitakua napiga mpini kama nachimba mgodi
 
unataka elfu 50 njoo uifate sipendagi ujinga mimi na ukija sasa iyo show yake sio ya nchi hii mana nikikumbuka ulivyo kua unanizungusha aki nitakua napiga mpini kama nachimba mgodi
Sio Kila mdada anapigwa kizembe ,jipange
 
Back
Top Bottom