Jaribio la kuomba hela

Jaribio la kuomba hela

jamaa alikuwa na papara tuu.....ila angekuwa kweli kazimika.....nna hakika angekupata...hakuna mkate mgumu mbele ya chai.......
 
Yaan sipendi nikutane na mwanaume in the first place anambie mambo ya ngono yaan nakerekagaaaa naweza kumjibu neno moja afute no mwenyewe.
 
Huyo jamaa ajui kusaundisha,,,anapigwa sound mpaka unatubu,,,
Hhahahaa uwi dunia in mambo jamani acheni tu

Basi buana juzi Kati natoka dar-dom kwenye siti nimekaa na mtu mzima Sana, no stori Hadi tunafika,mbele Kuna kijana wa makamo ambaye kwenye kiti hatulii Ni Kama anatamani Mzee akaye mbele yeye arudi nyuma tukae wote (wabadilishane),Kila baada ya dakika mbili ananiangalia.
Muda mwingine ikabidi anisemeshe kabisa ,Mambo vipi Safi ,tumefika msamvu tunashuka akasema vipi Safari yani kwa vyovyote anatamani kuongea na Mimi ila nafasi ikakosekana.

Tumefika Dom tunashuka akahakikisha anakaa nyuma yangu wakati wa kushuka akanisalimia vipi waelekea wapi nikamwambia ahha nashukuru nimepata mwenyeji ,unaondoka kwa usafiri gani nikasema boda boda ,tuchukue tax au bajaji usijali nitalipia naenda maeneo hayo hayo unayoenda,ok,sawa nikajibu

Akaita usafiri hao ,njiani naitwa Henry waitwa Nani ,naitwa lady of destiny unafanya kazi wapi nikamtajia ,aah buana nimeamishiwa dodoma uwe mwenyeji wangu daah maisha sijui yatakuwaje basi ghafla nikamwambia Mimi nimefika ok ,basi naomba mawasiliano Mana ofisi uliyopo ndo na Mimi nimehamia,japo nilikuja kujua yupo sehemu nyingine kubwa.

Ok ok bye bye
Kesho badae simu za kutosha ananiuliza unaish wapi,kazi,na maisha yangu kwa ujumla ,nimekupenda na Nini na Nini hivyo
Sasa nikamuuliza familia iko wapi kasema dar ok nikajua huyu tayari Ni mume wa mtu ,ok njoo tuende lunch,njoo sijui tuende wapi,nikagoma Kila nilichoombwa naomba one night nipo tayari kukupa chochote,hutajutia maamuzi yako , tule maisha bwana
Yani ningekuwa mhuni ningemmaliza ,anapiga simu mara zaidi ya 20 per day,usipopokea unaenza kuta mced Cal hata 15 akianza kukutumia sms ukiandika moja kashaandika tano,njoo hapa hotelin nimekumis Yani maneno mengi , ikabidi nimwambie nina familia na Mr kafuma sms zake akapowa kidogo,

Tukaenda hivyo Nikaona hakati tamaa ,ghafla nikamtext sorry naomba uniazime elfu 50 nimepata dharura (sikuwa na shida )ila nilitaka tu kumkimbiza Mana nilishachoka na Sina tabia ya kutembea na watu wenye familia zao

Hadi Leo hiyo sms haijajibiwa ,sijajua kama alikufa au yupo hai
 
Kajiongeza [emoji3][emoji3]
Ukipiga bomu tu mtu anajua hapa sihitajiki.
Na hio ndio njia pekee ya kumfukuza fisi😂😂😂 ambayo wanawake wengi inatakiwa wajifunze. Ukiombwa hela bila sababu ya msingi katika hatua za awali tu baharia jua tu huitajiki!

Sikuhizi nilichogundua mwanamke anaekupenda anakupa yeye hela na papuchi ili umpe airtime. Kazi ni kwenu mabaharia. Zama zimebadilika watoto wa Dar wanazidi kuoza tu!
Ref: Ben Pol et. al
 
Hiyo ndio njia rahisi kabisa ya kuvifikuza kikwale, kuna vijanaume vina kelele kama mbu... Ukiona kinaongea sanaaa story za sungura na fisi kipige mzinga tu kinaondoka kama kunguru wa dar.
Hahahahah Eve huwa nakukubali hapo tu 😂😂😂 eti kelele kama umbu!!!

Sometimes i really try to imagine ypur character ukiwa faragha inakuwagaaje yani!?...Mus B a bad girl indeed!!!
 
Yaan sipendi nikutane na mwanaume in the first place anambie mambo ya ngono yaan nakerekagaaaa naweza kumjibu neno moja afute no mwenyewe.
Ila vipi akikuambia hivyo yule anaekukosha, secret admirer utamjibu kunya nae? Najua yupo so far...au ndio itakuwa #shut up and take my pants off...#$&@+&%
 
Hiyo ndio njia rahisi kabisa ya kuvifikuza kikwale, kuna vijanaume vina kelele kama mbu... Ukiona kinaongea sanaaa story za sungura na fisi kipige mzinga tu kinaondoka kama kunguru wa dar.
Na ukikapiga mzinga kisha kakiripuka...( unaomba 50k kanatoa 100k ) ?
 
Ila vipi akikuambia hivyo yule anaekukosha, secret admirer utamjibu kunya nae? Najua yupo so far...au ndio itakuwa #shut up and take my pants off...#$&@+&%
Ahaaaa anaenikosha lazima nae aje kwa ustaarabu, sio tu day one tu anataka papuchi, afu kumbuka mtu mwenye malengo na wewe hawezi kuwa na uchu wa papuchi haraka hivyo.
 
Wanawake bhana hamna hata shukrani,mm nadhani ungepata hiyo 50 hata hili bandiko usingelileta hapa ,
Jamaa safi sana kajiongeza,kwenye kikao chetu cha 21 tuliazimia hakuna kutuma pesa,pesa unaifuata kwa nauli yako hotel,or getho
 
Ahaaaa anaenikosha lazima nae aje kwa ustaarabu, sio tu day one tu anataka papuchi, afu kumbuka mtu mwenye malengo na wewe hawezi kuwa na uchu wa papuchi haraka hivyo.
ila ikumbukwe nawe unaweza kuwa na uchu na mashine yake vibaya mno...uko chini ni chemchem tu. Wasomi wanasema mafanikio ni matokeo ya utayari na fursa vikikutana!
 
Wanawake bhana hamna hata shukrani,mm nadhani ungepata hiyo 50 hata hili bandiko usingelileta hapa ,
Jamaa safi sana kajiongeza,kwenye kikao chetu cha 21 tuliazimia hakuna kutuma pesa,pesa unaifuata kwa nauli yako hotel,or getho
😂 ni kweli mwenyekiti
 
Back
Top Bottom