Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,399
- 191,510
Not with this IronyAm a good girl 😀
Not with this IronyAm a good girl 😀
Hatutaki ujinga ujinga mkuu[emoji23] ni kweli mwenyekiti
Pesa aifate ndaniHatutaki ujinga ujinga mkuu
Yeah,ndio azimio tulilopitisha mkuu kikao cha 21[emoji51] [emoji51] [emoji3] [emoji3]Pesa aifate ndani
Hahahahah kweli kizaz Cha wanaume kimeisha,eti mwanamke anayekupenda anakupa hela na papuchi,nyooo mtapewa hadi maradhi kwa kupenda mteremko.Na kwa taarifa tu nowadays wanawake wenye grid wanamwaga hela hatari kwa mariosss,take care mwanaume majukumuNa hio ndio njia pekee ya kumfukuza fisi[emoji23][emoji23][emoji23] ambayo wanawake wengi inatakiwa wajifunze. Ukiombwa hela bila sababu ya msingi katika hatua za awali tu baharia jua tu huitajiki!
Sikuhizi nilichogundua mwanamke anaekupenda anakupa yeye hela na papuchi ili umpe airtime. Kazi ni kwenu mabaharia. Zama zimebadilika watoto wa Dar wanazidi kuoza tu!
Ref: Ben Pol et. al
[emoji23][emoji23]aibu hiiHahahahah kweli kizaz Cha wanaume kimeisha,eti mwanamke anayekupenda anakupa hela na papuchi,nyooo mtapewa hadi maradhi kwa kupenda mteremko.Na kwa taarifa tu nowadays wanawake wenye grid wanamwaga hela hatari kwa mariosss,take care mwanaume majukumu
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app