Japo Beggars Can Not Be Choosers, Tuache Siasa Kwenye Uchumi. We Have to Choose Or. ..

Kuna jambo SILIPENDI kwa rais wetu Magufuli.
Kila kiongozi akitutembelea kunakuwa na sentensi hii "TUMEOMBA MSAADA tusaidiwe"

Hii tabia siyo nzuri. INATUDHALILISHA sana. Itafanya wageni waogope kututembelea.
We cannot keep on BEGGING. So as to be BRANDED as a begging nation.

We should discard that kind of mentality. KUOMBAOMBA ni Tabia ni AIBU.
Wengine tukisikia kauli hiyo inatusononesha. Hata kama basi mmepata msaada, itumike lugha nyingine MBADALA bada ya "TUMEOMBA"
Hivi awamu hii ya tank nayo inaomba?Mbona mnapenda uchochezi.
 
Naziona, hongera. Hivi tutajenga uchumi upi na ndege mbili.
Hakuna biashara ya ndege siku hizi katika dunia, waliowahi kuanza biashara hii kama Ethiopian Airway, Kenya Airway KIM, Fly Emirates na mengine kama hayo ndio tayari washateka soko, wewe unaanza leo unatarget soko lipi?? Kama lengo lenu ni soko LA ndani au Africa, hizo fikra futeni kabisa, how would you compete na makampuni ya ndani kama vile Fast jet na Precision Air??
 
Dunka imebadilika kaka Pascal. Hiyo reli yako iliyojengwa na mjerumani haiwezi kuhimili Treni za sasa. Otherwise unataka tuendelee kuishi maisha ya kimaskini qmbayo yatatuchelewesha kusonga mbele. Tuache tutekeleze ahadi ya chama chetu ili 2020 mtuhukumu vizuri
Kwa hiyo mmeahidi mambo yasiyokuwa ndani ya uwezo wenu!!?

Kweli hii ni game of politics ........... yaani tender inatangazwa kabla pesa haijapatikana. Only in Tanzania!!
 
Kuhusu-SGR tungejenga kiwanda cha mataruma hapa TZ ingekuwa vizuri sana.Chuma (Iron Ore) kipo kingi sana huko Liganga na Handeni maeneo ya Kitumbi!
Sijui ni nini Kati ya tunavyovihitaji tunaweza fanya wenyewe.

Na hata tukipata hiyo mikopo, tukajengewa hiyo miundombinu, je tutaweza kuikarabati/kuitunza?
Angalia mfano wa TAZARA;
Vituo vikubwa vimechoka!
Vituo vidogo ni kama magofu.
Ukataji tiketi umepitwa na wakati na umejaa makosa.
Ubebaji wa mizigo uko chini kuliko uwezo.
Shirika linaendeshwa kwa hasara.

Je reli hii ikikamika ni nini tutafanya tofauti ambacho tumeshindwa kufanya na TAZARA?

Kwa maoni yangu, Tanzania ina janga la ukosefu wa;
Viongozi wa karne ya sasa.
Mfumo wa kuwapata viongozi wa aina hii.
 
sijui ni kwanini nimeuona huu uzi asbh hii. may be mvua zinazonyesha, njia ya mwendokasi baadhi ya sehem zimejaa maji na hivyo zimenipa mawazo.

BT kinachonishangaza mie si tu ujenzi wa hiyo reli bali ni mahsarti magumu ya mikopo tunayopewa.
kuna mradi mmoja mkubwa sana wa barabara nimefanikiwa kuuskia tuu juu juu, eti masharti mkandarasi lazima atoke misri na 75% ya wafanyakazi wawe ni wageni. hivi kweli ni utimamu wa akili huu ama?

hivi kundi kubwa laa graduates wa vyuo vya uhandisi watajifunzia wapi kujenga barabara? yaani nimeumia kuona mwanafunzi aliyesoma highway and transportation hatakuwa na nafasi ya kujifunza kwa vitendo. eti hawa waende wakajifunzie barabara za huko uswekeni za chanagarawe.

lini sisi tutaweza kutengeneza officls wetu ambao wako competent kwa stahili hii?

hata kama tunatataka mandeleo ila yaje kwa pace iyotoa room ya kubakiza rasilimali kwenye vichwa vya watu. sikatai kwa ubora wa bidhaa ila pia na wenyeji wapewe room ya kujifunza kuwa na macho yenye kutenda kwa ubora
 
hili swala la reli jamani mbona baressa huwa anapitisha mizigo yake vizuri tuu? ishu hapo ni nini?
ninachokiona reli zetu zimechoka kwasababu ya kutokutumiwa mataruma yamefukiwa na udongo kwingine yameng'oka kabisa.

ila kubwa kuliko yote hii reli inajengwa ili ifanye kazi gani? manake sisi hatuna kibali cha kusafirisha hata bidhaa moja kwenda nje ya nchi pasipo kuipitisha mombasa.
pamba na kahawa yetu husafirishwa hadi mombasa hapa dar hakuna kinachotoka zaidi ya sisi kuingiza magari tuu.
 
Japo sisi ni ka nchi masikini as beggars as we are, na kuna msemo unaosema "beggars can not be choosers" hivyo kazi ya omba omba ni kuomba tuu na kupokea chochote atakachopewa, akiisha pewa kazi yake ni kusema "hewala" tuu, hata kama amepewa masharti magumu kiasi gani!.
Paskali.
Mtu unamdai Dola Bilioni 191, hasemi atazilipaje, bali anakuahidi kukupa zawadi ya dola milioni 300, za goodwill kuonyeshea nia njema ya kukulipa, wewe badala ya kumkatalia kuwa hatuhitaji zawadi yoyote kabla ya kujua hatma ya deni letu la dola bilioni 191, lakini kutokana na umasikini wetu, kazi yetu ni kufurahia zawadi, kuipokea na kusema asante.

Lazima tuwe ni watu wa shukrani, kwa kushukuru kwa kidogo, ili tupatiwe kikubwa.

Asante Mungu kwa hizi dola milioni 300, za zawadi, tulikuwa tunazihitaji sana!, tena tungejua mapema, tusingekopa Uswisi dola milioni 500 kwa riba ya asilimia 80%, tungekopa dola milioni 200 tuu kujazilizia.

Kwenye hili la kukubali kupokea zawadi yoyote toka kwa mdeni wako, bila kusema deni atalipa lini na atalipa vipi, linanitatiza, kwa sababu I fear the Greeks especially when they bring gifts.

Kwa vile tumekubali kupokea zawadi kwa mdeni wetu, naomba kutoa angalizo, kuwa baada ya zawadi kupokelewa, nawaombeni sana msije kushangaa ikawa ndio imetoka hiyo, hiyo zawadi ikageuka ndio fidia ya deni letu.

Umasikini Kazi!.
Paskali
 
Tunapewa dola milioni 300, kazi yetu ni kupokea na kusema asante.
Lazima tuwe ni watu wa shukrani, kwa kushukuru kwa madogo, ili tupatiwe makubwa.
Asante Mungu kwa hizi dola milioni 300, tulikuwa tunazihitaji sana!, tena tungejua mapema, tusingekopa Uswisi dola milioni 500 kwa riba ya asilimia 80%, tungekopo dola milioni 200 tuu!.
Paskali
Precisely!
Pengine wengine wataona logic yako. Badala ya kukaa na kulaumu tu.
Heri kile kidogo kuliko KUKOSA kabisa na KUPOTEZA hela nyingi kwenye KESI kesi.
 
Wanabodi,
Naomba kwanza kukiri kuwa mimi sio mchumi, ila ninasoma tuu hoja za wachumi katika economical direction of our nation, the opportunities we have and how do we grab them for our advantage we are not on the right track! .

Japo sisi ni ka nchi masikini as beggars as we are, na kuna msemo unaosema "beggars can not be choosers" hivyo kazi ya omba omba ni kuomba tuu na kupokea chochote atakachopewa, akiisha pewa kazi yake ni kusema "hewala" tuu, hata kama amepewa masharti magumu kiasi gani!.

Jee sisi kama nchi, tuendelee tuu kuomba na kupokea kwa kusema hewala, au sasa tubadilike,kama ni kuomba, tuombe kwa malengo? na tukipewa tuwe na uwezo wa kusema sharti hili sawa, na sharti hili hapana?. Maana Waturuki nao sasa ni super power, nao wanatoa misaada na masharti, sisi ni kufuata tuu? .

Tanzania tuna makabila mengi. Kuna makabila ya watafutaji na kuna makabila ya omba omba. Yale ya omba omba wao kuomba omba wanaona sifa, na kuna makabila ni masikini jeuri, makabila hayo hata ukiwa huna chakula, kuliko kuomba na kudhalilishwa, kwa makabila haya yata opt kulala njaa!. Hivyo Tanzania katika baadhi ya miradi, lazima tukomae, tuwe masikini jeuri, tusikubali tuu kila kitu kwa sababu ya umasikini wetu, mfano hili la Waturuki na ujenzi wa KM 400 tuu za SGR, tusiwakubalie unless tumejiridhisha ni nani ata fund the rest.

Jee katika uteuzi wa madereva wa uchumi wetu, jee tuendelee kujiteulia mtu yoyote ali muradi ana Ph.De tuu hata bila track record yoyote ya delivery, hata kama tukiteua omba omba alimuradi ana Ph.D? .

Case Study ni SGR.
Tanzania tuna reli mbili kuu, Reli ya Kati na Tazara. Both of them are under utilized. Kama tumeshindwa tuu kutumia hizi reli zilizopo to the full capacity, why construct a new SGR along the same lines? .

Kwa nini tusingeimarisha kwanza hiki kilichopo na kukitumia to the fullest hadi kikazidiwa ndipo kitafutiwe usaidizi? .

Juzi juzi nilitembelea Central Corridor na kushuhudia jinsi bandari kavu ya Isaka ilivyo a white elephant, TRL wanashindwa kupeleka mizigo kwa sababu hakuna crane ya kushusha containers! . Ghala la Isaka limekodishwa kuwa ni storage facility kwa mizigo ya Azam! . Yaani tumeshindwa kupeleka mizigo Isaka kwa vijisabu vya kijinga kabisa halafu leo tunazungumzia kujenga reli nyingine along side hii iliyopo ambayo tumeshindwa kuitumia!.

Reli ya kati ilikuwa na branch inakwenda Tanga, Moshi na Arusha, what happened tumeshindwa kukitumia leo tunazungumzia kujenga reli mpya kwa mkopo? .

Sisi Watanzania Ni Wazima Kweli Kwenye Kupanga Vipaumbele Vyetu?.
Wachumi hebu tusaidieni, are we OK kwenye kuchagua na kupanga vipaumbele vyetu?, mbona kwenye bomba la mafuta la Uganda tumeweza?. Mbona bomba la gesi tumeweza?, mbona kununua ndege mpya kwa cash kupitia mtindo wa kupiga tanchi tumeweza, kwenye reli tunashindwa nini?!.

Wachumi wetu humu tusaidieni, Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo kwa asilimia 80%, hii maana yake, kama nchi yetu inahitaji maendeleo ya kweli ya taifa as a nation, then priority number moja katika juhudi za kuleta maendeleo, ni kuinua sekta ya kilimo. Just imagine kwa kufanya a comparative analysis, fedha zilizotumika kununulia ndege mpya na hizi zinazotumika kujenga SGR, zingeelekezwa kwenye kuinua sekta ya kilimo, ni wapi Tanzania tungepata manufaa zaidi?.

Tatizo ni Nini?.
Tangu baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha, Tanzania kama nchi, hatujahi kukaa chini kama taifa kupanga dira na dhima ya taifa, tunataka kujenga taifa la namna gani na vipaumbele vyetu ni vipi. Kila rais anayekuja anakuja na vipaumbele vyake, Kikwete kataka kujenga bandari Bagamoyo, Magufuli kaingia, amesimamisha bandari ya Bagamoyo, yeye anajenga uwanja wa ndege Chato!. Tanzania lazima tufike mahali tuamue vipaumbele vyetu ni nini, tunataka nini, what for?, na tutapataje?, or we keep sitting na kuwategemea tuu hawa political Ph.Ds wetu wa uchumi waki politicise kila kitu hadi uchumi? .

Tanzania Nchi Karimu Kwa Wageni.
Tanzania ni nchi karimu sana kwa wageni, wakati wa ukoloni, tuliwakaribisha wazungu,
tukawakaribisha Wahindi, tumewakaribisha Wachina, na sasa tumewakaribisha Waturuki karibuni sana!.
In fact everybody karibuni sana Tanzania, is the land of plenty and endless opportunities!.

Welcome one
Welcome all.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.

Paskali na wewe sasa unaanza siasa unayosema tuache kwenye uchumi. Hivi ulishaona wapi nchi isiyo na siasa na inaendeshwa kwa uchumi tu? Siasa maana yake ni mfumo mzima wa utawala wa nchi, including management of the country's economy.
 
The problem is we chose to beg.We have very bright minds but we resorted to being recipients instead of using our minds.
 
Hili la kutopandisha mishahara mwaka wa 4 huu ni uthibitisho wa we are not on the right track.
P

Baada ya hii Mei Mosi, ninahisi mvuto wa mzee kwa wafanyakazi utazidi kushuka kwa kiwango kikubwa sana. Jambo ambalo lingeleta athari kubwa sana kwenye uchaguzi mkuu ujao iwapo kungekuwepo na tume huru ya uchaguzi na pia polisi kutotumika kisiasa kama alivyonukuliwa Rais mtaafu Jk kwenye moja ya vikao vya chama wakati ule.
 
Mkuu Pascal Mayalla

Ndoto zetu kama taifa ni kubwa mno. Inapaswa iwe hivi maana alisema Bi Sirleaf kwamba "if your (development) dreams cannot scare you, they are not good enough.

Shida kubwa kwetu ni management ya hizi resources nyingi tulizonazo. Botswana sana Almasi na Ng'ombe pekee, lakini uchumi uko safi. Saudia wana mafuta pekee, uchumi wao tunajua uko vizuri. Sisi tuna gesi, madini chekwa, vivutio vya utalii, maji kila kona ya nchi isipokuwa kanda ya kati, lakini uchumi wetu hohe hahe.

Mwaka 1966 wakati Botswana inapata Uhuru toka kwa Waingereza, ilikuwa ni kati ya nchi tatu masikini duniani. Walikuwa na kilometer 6 pekee za lami. Sasa hivi wameendeleza miundo mbinu vizuri tu pamoja na ustawi wa jamii. Siri kubwa ni management ya rasilimali zao.

Vivyo hivyo Rwanda, wameboresha management, China ambao tunafuata model yao ya siasa-uchumi nao pia siri ya mafanikio IMO kwenye management.

Sisi kwetu, ushahidi wa hivi karibuni aliotoa CAG ni uthibitisho kwamba bado tuna safari ndefu ku-manage resources zetu wenyewe. Somo la ownership of public resources halijatuingia sawasawa badala yake tumelemewa na somo la kuchepusha public resources. Binafsi sioni namna tunajikwamua hapa hivi karibuni.
 
Mtu unamdai Dola Bilioni 191, hasemi atazilipaje, bali anakuahidi kukupa zawadi ya dola milioni 300, za goodwill kuonyeshea nia njema ya kukulipa, wewe badala ya kumkatalia kuwa hatuhitaji zawadi yoyote kabla ya kujua hatma ya deni letu la dola bilioni 191, lakini kutokana na umasikini wetu, kazi yetu ni kufurahia zawadi, kuipokea na kusema asante.

Lazima tuwe ni watu wa shukrani, kwa kushukuru kwa kidogo, ili tupatiwe kikubwa.

Asante Mungu kwa hizi dola milioni 300, za zawadi, tulikuwa tunazihitaji sana!, tena tungejua mapema, tusingekopa Uswisi dola milioni 500 kwa riba ya asilimia 80%, tungekopa dola milioni 200 tuu kujazilizia.

Kwenye hili la kukubali kupokea zawadi yoyote toka kwa mdeni wako, bila kusema deni atalipa lini na atalipa vipi, linanitatiza, kwa sababu I fear the Greeks especially when they bring gifts.

Kwa vile tumekubali kupokea zawadi kwa mdeni wetu, naomba kutoa angalizo, kuwa baada ya zawadi kupokelewa, nawaombeni sana msije kushangaa ikawa ndio imetoka hiyo, hiyo zawadi ikageuka ndio fidia ya deni letu.

Umasikini Kazi!.
Paskali
Wanabodi, katika pita pita zangu humu jf, nikakutana na hii post yangu ya mwaka 2017 kuhusu kukubali kile kishika uchumba cha dola milioni 300. Nilichokisema hapa, kimekuja kutokea exactly the same!. Kiukweli kauli huumba!.
P
 
Wanabodi,
Naomba kwanza kukiri kuwa mimi sio mchumi, ila ninasoma tuu hoja za wachumi katika economical direction of our nation, the opportunities we have and how do we grab them for our advantage we are not on the right track! .

Japo sisi ni ka nchi masikini as beggars as we are, na kuna msemo unaosema "beggars can not be choosers" hivyo kazi ya omba omba ni kuomba tuu na kupokea chochote atakachopewa, akiisha pewa kazi yake ni kusema "hewala" tuu, hata kama amepewa masharti magumu kiasi gani!.

Jee sisi kama nchi, tuendelee tuu kuomba na kupokea kwa kusema hewala, au sasa tubadilike,kama ni kuomba, tuombe kwa malengo? na tukipewa tuwe na uwezo wa kusema sharti hili sawa, na sharti hili hapana?. Maana Waturuki nao sasa ni super power, nao wanatoa misaada na masharti, sisi ni kufuata tuu? .

Tanzania tuna makabila mengi. Kuna makabila ya watafutaji na kuna makabila ya omba omba. Yale ya omba omba wao kuomba omba wanaona sifa, na kuna makabila ni masikini jeuri, makabila hayo hata ukiwa huna chakula, kuliko kuomba na kudhalilishwa, kwa makabila haya yata opt kulala njaa!. Hivyo Tanzania katika baadhi ya miradi, lazima tukomae, tuwe masikini jeuri, tusikubali tuu kila kitu kwa sababu ya umasikini wetu, mfano hili la Waturuki na ujenzi wa KM 400 tuu za SGR, tusiwakubalie unless tumejiridhisha ni nani ata fund the rest.

Jee katika uteuzi wa madereva wa uchumi wetu, jee tuendelee kujiteulia mtu yoyote ali muradi ana Ph.De tuu hata bila track record yoyote ya delivery, hata kama tukiteua omba omba alimuradi ana Ph.D? .

Case Study ni SGR.
Tanzania tuna reli mbili kuu, Reli ya Kati na Tazara. Both of them are under utilized. Kama tumeshindwa tuu kutumia hizi reli zilizopo to the full capacity, why construct a new SGR along the same lines za reli ya Kati, wakati the biggest cargo traffic ni mizigo inayo cross Tunduma Border, ndio the busiest border, kwa nini hii SGR ipite mule mule kwenye reli tulioshindwa kuitumia ipasavyo sasa tunajenga mpya?. Hii sio a white elephant project?.

Kwa nini tusingeimarisha kwanza hiki kilichopo na kukitumia to the full capacity hadi kikazidiwa ndipo kitafutiwe usaidizi? .

Juzi juzi nilitembelea Central Corridor na kushuhudia jinsi bandari kavu ya Isaka ilivyo a white elephant, TRL wanashindwa kupeleka mizigo kwa sababu hakuna crane ya kushusha containers! . Ghala la Isaka limekodishwa kuwa ni storage facility kwa mizigo ya Azam! . Yaani tumeshindwa kupeleka mizigo Isaka kwa vijisabu vya kijinga kabisa halafu leo tunazungumzia kujenga reli nyingine along side hii iliyopo ambayo tumeshindwa kuitumia!.

Reli ya kati ilikuwa na branch inakwenda Tanga, Moshi na Arusha, what happened tumeshindwa kukitumia leo tunazungumzia kujenga reli mpya kwa mkopo? .

Sisi Watanzania Ni Wazima Kweli Kwenye Kupanga Vipaumbele Vyetu?.
Wachumi hebu tusaidieni, are we OK kwenye kuchagua na kupanga vipaumbele vyetu?, mbona kwenye bomba la mafuta la Uganda tumeweza?. Mbona bomba la gesi tumeweza?, mbona kununua ndege mpya kwa cash kupitia mtindo wa kupiga tanchi tumeweza, kwenye reli tunashindwa nini?!.

Wachumi wetu humu tusaidieni, Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo kwa asilimia 80%, hii maana yake, kama nchi yetu inahitaji maendeleo ya kweli ya taifa as a nation, then priority number moja katika juhudi za kuleta maendeleo, ni kuinua sekta ya kilimo. Just imagine kwa kufanya a comparative analysis, fedha zilizotumika kununulia ndege mpya na hizi zinazotumika kujenga SGR, zingeelekezwa kwenye kuinua sekta ya kilimo, ni wapi Tanzania tungepata manufaa zaidi?.

Tatizo ni Nini?.
Tangu baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha, Tanzania kama nchi, hatujahi kukaa chini kama taifa kupanga dira na dhima ya taifa, tunataka kujenga taifa la namna gani na vipaumbele vyetu ni vipi. Kila rais anayekuja anakuja na vipaumbele vyake, Kikwete kataka kujenga bandari Bagamoyo, Magufuli kaingia, amesimamisha bandari ya Bagamoyo, yeye anajenga uwanja wa ndege Chato!. Tanzania lazima tufike mahali tuamue vipaumbele vyetu ni nini, tunataka nini, what for?, na tutapataje?, or we keep sitting na kuwategemea tuu hawa political Ph.Ds wetu wa uchumi waki politicise kila kitu hadi uchumi? .

Tanzania Nchi Karimu Kwa Wageni.
Tanzania ni nchi karimu sana kwa wageni, wakati wa ukoloni, tuliwakaribisha wazungu,
tukawakaribisha Wahindi, tumewakaribisha Wachina, na sasa tumewakaribisha Waturuki karibuni sana!.
In fact everybody karibuni sana Tanzania, is the land of plenty and endless opportunities!.

Welcome one
Welcome all.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Mkuu umeanza tena? Usijisahau sana maana ulikuwa umeshaanza kuunga juhudi ingelikuwa vema ukatulia ili mambo yaende inavyotakiwa pasipo kuchanganya hili "gunzi". Maana utakavyozidi kuandika ndivyo "watu" watatafsiri kuwa ni "hasira za kukosa teuzi".
 
Back
Top Bottom