Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hiyo video ambayo imekuwa Big Hit kwenye internet Duniani inaonyesha watoto wa Kijapani wakijipanga na kuruka kamba kwa pamoja, hii video inatoa mafundisho mengi sana na hiki ndicho kilichowavutia watu wengi ni kwamba ili uweze kufanya walichofanya hao watoto wa Kijapani unahitaji ushirikiano, nidhamu, kuaminiana kwa maana kama mmoja tu akiteleza basi wote wataanguka, Imani na kujituma bila ya kuchoka kwamba unaweza kwenda mbali sana,
Hakuna kinachoshindakana kama tukiamua hivyo binafsi na dedicate hii video kwa nchi yangu ya TanZania na Watanzania kwa ujumla kwamba tukishikamana na kuwa wamoja, tukiwa na nidhamu, ushirikiano na kuaminiana basi kama hawa wototo wa Kijapani hakuna kitakachotushinda!
Jaribu kuingalia hiyo video kwa makini halafu fikiria waliwezaje kufanikisha hilo!
* Video ya Pili inalitolea maelezo!

Maelezo!