Maprof wengine majanga wala sina muda wa kuwasikiliza.
Maprofesa waliokulia kwenye sera za kijamaa huwa wana mawazo mgando kama akili za kondoo
Wale hawana mchezo... Ukifisadi wana wewe.... Kinachotuharibia sisi ni kubebana... Si unaona hata suala la madawa ya kulevya huko Indonesia baadhi yetu eg. wiseboyNchi ya Ujapani imefanya majaribio ya treni inayopelekwa kwa kutumia nguvu za Sumaku na wameweza kufika Mwendokasi wa 603km/saa na hawaongei Kiingereza, siajabu wewe na baba yako mnajua kiingereza kuwazidi Wajapani na kimetunufaisha na nini zaidi ya majungu na Ubinafsi tu, .... wewe!