Tusomapo msahafu wa Biblia Takatifu historia ya gharika kuu naweza pata picha ya yaliyotokea huko Japan, hakia duniani tunaishia tu neema ya Mungu ukitilia maanani ardhi kavu ni theludhi moja tu. Bahari ikiamu akutifuka vilivyo ni ihisabu ya wachache tu itakayobakia.