Asante dada ladyfurahia naamini Leo umenielewaubarikiwe mtumishi
Pls endelea the soonest sitakaa mbali niongeze maarifa[emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwanza kabisa ijulikane kwa uwazi kwamba majina ya miezi ya kigregoria imeanzishwa kwa mfumo wa kumbukumbu za miungu ya kirumi badala ya Mungu wa kweli.
Kama alivyosema mshana jr kwa imani ya kirumi mwenzi wa kwanza ni lango, hii inatoka na maana na asili ya neno january (Janus ) ambae alikuwa ni mungu wa lango.
Picha ya mungu Janus.
Kuamini na kendelea kutumia sikukuu na mapokeo ya kale yenye asili ya miungu, kwamimi naamini sio sahihi, lakini mambo mengi tumekuwa tukiyafuata kwaajili ya mfumo wa maisha bila kujua asili yake ni nini.
Kiebrania mwezi wa kwanza ulikuwa unaitwa mwezi wa Nisan amabao kwenye kalenda hii ya kirumi inachukua baadhi ya tarehe ndani ya mwezi wa tatu na wanne.
Mara nyingi tunapoingia mwaka mpya, wachungaji na viongozi wa dini ( haswa imani za kikristo) wamekuwa wakitoa kama unabii kuwa mwaka huu ni mwaka ya jambo fulani kwa mfano mwaka huu ni mwaka wa kupokea, au mwaka huu ni mwaka wa maongezeko, au mwaka huu ni mwaka wa shange, kicheko n.k. . Swali je Mungu anatengwa na vipimo vyetu vya miaka? je mwaka jana ni tofauti kwa Mungu. Ninavyo amini mimi kalenda ni mipango ya binadamu ili kuweza kujipima katika malengo.
Nitaendelea zaidi baada ya kuona michango ya watu.
Nsaidie mkuu.Kwanza kabisa ijulikane kwa uwazi kwamba majina ya miezi ya kigregoria imeanzishwa kwa mfumo wa kumbukumbu za miungu ya kirumi badala ya Mungu wa kweli.
Kama alivyosema mshana jr kwa imani ya kirumi mwenzi wa kwanza ni lango, hii inatoka na maana na asili ya neno january (Janus ) ambae alikuwa ni mungu wa lango.
Picha ya mungu Janus.
Kuamini na kendelea kutumia sikukuu na mapokeo ya kale yenye asili ya miungu, kwamimi naamini sio sahihi, lakini mambo mengi tumekuwa tukiyafuata kwaajili ya mfumo wa maisha bila kujua asili yake ni nini.
Kiebrania mwezi wa kwanza ulikuwa unaitwa mwezi wa Nisan amabao kwenye kalenda hii ya kirumi inachukua baadhi ya tarehe ndani ya mwezi wa tatu na wanne.
Mara nyingi tunapoingia mwaka mpya, wachungaji na viongozi wa dini ( haswa imani za kikristo) wamekuwa wakitoa kama unabii kuwa mwaka huu ni mwaka ya jambo fulani kwa mfano mwaka huu ni mwaka wa kupokea, au mwaka huu ni mwaka wa maongezeko, au mwaka huu ni mwaka wa shange, kicheko n.k. . Swali je Mungu anatengwa na vipimo vyetu vya miaka? je mwaka jana ni tofauti kwa Mungu. Ninavyo amini mimi kalenda ni mipango ya binadamu ili kuweza kujipima katika malengo.
Nitaendelea zaidi baada ya kuona michango ya watu.
Mwezi mei au mai unatokana na mungu wa kike wa kirumi aitwae maia. Maia alikuwa anatambulika kama mungu wa ukuzi (growth), maia alikuwa mama wa Hermes na pia ni binti wa atlas.Nsaidie mkuu.
Mwezi Mei ni Mungu gani Wa Kirumi.?
Sasa wewe unadandia mada mgongoni, kwani huwezi tembea kwa miguu yako? Looo!Aibuuu!Kwanza kabisa ijulikane kwa uwazi kwamba majina ya miezi ya kigregoria imeanzishwa kwa mfumo wa kumbukumbu za miungu ya kirumi badala ya Mungu wa kweli.
Kama alivyosema mshana jr kwa imani ya kirumi mwenzi wa kwanza ni lango, hii inatoka na maana na asili ya neno january (Janus ) ambae alikuwa ni mungu wa lango.
Picha ya mungu Janus.
Kuamini na kendelea kutumia sikukuu na mapokeo ya kale yenye asili ya miungu, kwamimi naamini sio sahihi, lakini mambo mengi tumekuwa tukiyafuata kwaajili ya mfumo wa maisha bila kujua asili yake ni nini.
Kiebrania mwezi wa kwanza ulikuwa unaitwa mwezi wa Nisan amabao kwenye kalenda hii ya kirumi inachukua baadhi ya tarehe ndani ya mwezi wa tatu na wanne.
Mara nyingi tunapoingia mwaka mpya, wachungaji na viongozi wa dini ( haswa imani za kikristo) wamekuwa wakitoa kama unabii kuwa mwaka huu ni mwaka ya jambo fulani kwa mfano mwaka huu ni mwaka wa kupokea, au mwaka huu ni mwaka wa maongezeko, au mwaka huu ni mwaka wa shange, kicheko n.k. . Swali je Mungu anatengwa na vipimo vyetu vya miaka? je mwaka jana ni tofauti kwa Mungu. Ninavyo amini mimi kalenda ni mipango ya binadamu ili kuweza kujipima katika malengo.
Nitaendelea zaidi baada ya kuona michango ya watu.
Nsaidie mkuu.
Mwezi Mei ni Mungu gani Wa Kirumi.?
Naomba uendelee kuichambua hiyo miezi yote tuliorithi toka huko upaganini, utupe na athari zake (za kuitumia kalenda hiyo)Mwezi mei au mai unatokana na mungu wa kike wa kirumi aitwae maia. Maia alikuwa anatambulika kama mungu wa ukuzi ( growth) , maia alikuwa mama wa Hermes na pia ni binti wa atlas.
Kiebrania mwezi wa wa tano ni Av ambao unachukua baadhi ya tarehe katika kalenda ya kirumi mwezi wa saba na wanane.