Jr_peace9367
Member
- Jul 20, 2019
- 7
- 10
Who cares working for the regime?
Ukimfanyia kazi anakuita ‘pumbavu’!
Jamaa ni workers abuser!
Bashe naye ameingia kundini rasmi...Who cares working for the regime?
Ukimfanyia kazi anakuita ‘pumbavu’!
Jamaa ni workers abuser!
ACHA KUPOTOSHA WEWEEE !! JANUARY MAKAMBA AMEKUWA MKWELI KWA LIPI ZAIDI YA KUONESHA KUWA NI MSALITI. HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMVUMILIA MSALITI. HUWEZI KUWA KWENYE CABINET HALAFU UNASHIRIKI NJAMA DHIDI YA BOSS WAKO. DAWA YA WASILITI SIKU ZOTE NI KUONDOLEWA TUUUU. ZITTO ALINUNULIWA NA JACK ZOKA - MKURUGENZI WA USALAMA, DAWA YAKE ALIYOIPATA NI KUFUKUZWA TU CHADEMA. HAKUNA MTU MBAYA KAMA MSALITI !!!!! WASALITI NI WATU WA KUFUKUZA TU NASHANGAA KWANINI WAMEONDOA UWAZIRI TU ALIPASWA KUFUKUZWA HADI KWENYE CHAMAView attachment 1158630
Siasa ni mchezo mchafu sana wenye weledi ndio wanoa teseka siku zote,mimi binafsi sijaona sababu ya makamba kutolewa sijaona mantiki ata kidogo ila naelewa kuwa nia na dhumuni ni kulinda maslai ya chama cha mapinduzi na sio wananchi
Na kama bashe asinge ongea kuhusu maswala ya barua ya wazee wa ccm kuwa makosea ata icho cheo asingepewa
Nchi imekuwa jalala la vibaraka ukisifia kidogo unapata chakula cha familia yako na ukiwa mkwel kwa maslai ya nchi unanyanganywa chakula cha familia yako
ACHA KUPOTOSHA WEWEEE !! JANUARY MAKAMBA AMEKUWA MKWELI KWA LIPI ZAIDI YA KUONESHA KUWA NI MSALITI. HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMVUMILIA MSALITI. HUWEZI KUWA KWENYE CABINET HALAFU UNASHIRIKI NJAMA DHIDI YA BOSS WAKO. DAWA YA WASILITI SIKU ZOTE NI KUONDOLEWA TUUUU. ZITTO ALINUNULIWA NA JACK ZOKA - MKURUGENZI WA USALAMA, DAWA YAKE ALIYOIPATA NI KUFUKUZWA TU CHADEMA. HAKUNA MTU MBAYA KAMA MSALITI !!!!! WASALITI NI WATU WA KUFUKUZA TU NASHANGAA KWANINI WAMEONDOA UWAZIRI TU ALIPASWA KUFUKUZWA HADI KWENYE CHAMA
Inaonekana kuna mgogoro mkubwa ndani ya CCM.
Halafu mzee jiwe hajui kufanya siasa Kwa hiyo anatumia mabavu tu
imekuuma sanaWho cares working for the regime?
Ukimfanyia kazi anakuita ‘pumbavu’!
Jamaa ni workers abuser!
imekuuma sana
pole