January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Makamba huwa ha-touch issue nyeti za nchi hii. Ni blaa blaaaa nyingi tu! We need critical content
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.

Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.

Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.

Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.

Pasco.

Pasco sometimes huwa unaniacha mdomo wazi. Mi nilidhani hii ni kwa mujibu wa wewe mwenyewe kumbe Clouds, tawi la Redio Uhuru kwenye propaganda za CCM, yaani kama vile uchukue data za FOX News kuhusu Democrats na Republicans ni dhahiri Republicans watapewa upper hand. hii top ten is not credible kabisa.
 
Mkuu hawa ni wazushi tu! Kama ni kuangalia wanasiasa walio fanya vizuri au wanao fanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii January Makamba hawezi kumfikia Dr Slaa na cha kushangaza Dr Slaa hata kwenye top 10 hayumo!

Angalia Dr Slaa ana followers wangapi, ametweet ngapi kwenye twitter @wilbrodslaa kisha mlinganishe na @jmakamba na wakati huohuo angalia pia hata kwenye fb akaunt zao.

Huu ni upishi wa haja ambao utafiti wake una tenge.

Yaani jamaa yenu hata kama kajampa mnata asifiwe, teh teh teh teh
Nyie mna UKABILA na UKANDA sana.
Haya sasa hayumo, jinyonge. ha ha ha hah!
 
1. January Makamba - CCM
2. Zitto Zuberi Kabwe - CHADEMA
3. Mohamed Dewji -CCM
4. Nape Mnauye -CCM
5. Jakaya Kikwete -CCM (mwenyekiti)
6. Halima Mdee -CHADEMA
7. John Mnyika - CHADEMA
8. Ridhiwan Kikwete - CCM
9. Shyrose Bhanji -CCM
10. Joshua Nasari. - CHADEMA

CCM 6 - CDM 4

Mchuano bado mkali, na CCM inaongoza kwa goli 2 kuelekea 2015.

Ufupi wa akili huwa unaanzia hapa, anyway simba ilienda na goli 3 mkononi, we all know what happened,
 
sisiem inaongoza kwa magoli 2 ila ina majeruhi wengi ambao watakua benchi siksi months.So there is a ray of hope
 
Huyu dogo Makamba kafanya kweli kule TANESCO,Ukiritimba wote umeisha siku hizi jamaa wa tanesco hata siku za mapumziko wanapiga kazi, rushwa ndogondo hasa wakati wa kuunganisha umeme zimepungua sana tofauti na zamani.. Kwa hili Makamba anastahili sifa.
 
Pasco,
Hebu himiza vyombo vingine vya habari makini zaidi kuendesha Polls kama hizi. Kama ni hiyo Clouds matokeo hayo ni sahihi sana isipokuwa wamewachomeka akina Mnyika, Mdee na Nasari ili kuonekana wana-balance story yao hiyo. Wengine wote ni celebrities wao kwa kila jambo ikiwemo fiesta, birthday parties, matangazo yao,...
 
Mkuu hawa ni wazushi tu! Kama ni kuangalia wanasiasa walio fanya vizuri au wanao fanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii January Makamba hawezi kumfikia Dr Slaa na cha kushangaza Dr Slaa hata kwenye top 10 hayumo!

Angalia Dr Slaa ana followers wangapi, ametweet ngapi kwenye twitter @wilbrodslaa kisha mlinganishe na @jmakamba na wakati huohuo angalia pia hata kwenye fb akaunt zao.

Huu ni upishi wa haja ambao utafiti wake una tenge.

Zitto na Makamba wako active sana Twitter.
 
Huyu dogo Makamba kafanya kweli kule TANESCO,Ukiritimba wote umeisha siku hizi jamaa wa tanesco hata siku za mapumziko wanapiga kazi, rushwa ndogondo hasa wakati wa kuunganisha umeme zimepungua sana tofauti na zamani.. Kwa hili Makamba anastahili sifa.

Jamaa anajitahidi. Na amekuwa katika siasa za nchi hii kwa less than 3 years tu!
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.

Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.

Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.

Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.

Pasco.

Ungetujulisha jinsi walivyopatikana (methodology) ingekuwa rahisi kujibu swali la hapo chini....ila kwa source hiyo.......
 
Nadhani kama Data watakuwa wamechukulia twitter, Facebook na pengine JF pekee watakuwa wamekosea, in short ingebidi waangalie medium zote, TV, Magazeti, Simu SMS vilevile hata wale ambao wanakaa na wananchi wao na kukutana nao face to face kila siku na kuhitisha mikutano mingi na wananchi wao...

As you know its a small percentage ya watanzania ambao wanashiriki kwenye hizi electronic medium (therefore inabidi data za wangapi wamefanya mikutano mingapi na wananchi wao na kuwapa majibu na marejesho wapewe maksi nyingi zaidi kuliko twitter et al...
 
Kwa maoni yangu, number 5 na number 8 hawakustahili kuwepo nafasi hizo, nadhani zimetolewa kwa kujikomba komba. Kiukweli number 2 ndio alistahili kushika nafasi ya kwanza!. Kuna watu kama Dr. Kigwa alistahili kuingia kwenye listi hii!.
kaka be carefull wasije wakaku limboka
 
Nadhani kama Data watakuwa wamechukulia twitter, Facebook na pengine JF pekee watakuwa wamekosea, in short ingebidi waangalie medium zote, TV, Magazeti, Simu SMS vilevile hata wale ambao wanakaa na wananchi wao na kukutana nao face to face kila siku na kuhitisha mikutano mingi na wananchi wao...

As you know its a small percentage ya watanzania ambao wanashiriki kwenye hizi electronic medium (therefore inabidi data za wangapi wamefanya mikutano mingapi na wananchi wao na kuwapa majibu na marejesho wapewe maksi nyingi zaidi kuliko twitter et al...
Mkuu Sun Wu, vigezo vya survey yao ni sms, fb, tweeter na blogs. ZZK angeongoza kwa hits fb, tweeter na blogs ila J.M yeye ana free sms kwa wananchi wake kitu ambacho ZZK hana hivyo kwa vigezo vyao they might be right!.
 
Back
Top Bottom