January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,513
113,643
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.

Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.

Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.

Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.

Pasco.
 
Mkuu hawa ni wazushi tu! Kama ni kuangalia wanasiasa walio fanya vizuri au wanao fanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii January Makamba hawezi kumfikia Dr Slaa na cha kushangaza Dr Slaa hata kwenye top 10 hayumo!

Angalia Dr Slaa ana followers wangapi, ametweet ngapi kwenye twitter @wilbrodslaa kisha mlinganishe na @jmakamba na wakati huohuo angalia pia hata kwenye fb akaunt zao.

Huu ni upishi wa haja ambao utafiti wake una tenge.
 
Kwa maoni yangu, number 5 na number 8 hawakustahili kuwepo nafasi hizo, nadhani zimetolewa kwa kujikomba komba. Kiukweli number 2 ndio alistahili kushika nafasi ya kwanza!. Kuna watu kama Dr. Kigwa alistahili kuingia kwenye listi hii!.
 
Pasco swali langu ulioni hama dharau? William Malecela sio mwanasiasa kwani mbona hawajamuweka?
 
Mkuu hawa ni wazushi tu! Kama ni kuangalia wanasiasa walio fanya vizuri au wanao fanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii January Makamba hawezi kumfikia Dr Slaa na cha kushangaza Dr Slaa hata kwenye top 10 hayumo!

Angalia Dr Slaa ana followers wangapi, ametweet ngapi kwenye twitter @wilbrodslaa kisha mlinganishe na @jmakamba na wakati huohuo angalia pia hata kwenye fb akaunt zao.

Huu ni upishi wa haja ambao utafiti wake una tenge.

Great Thinker!

King Kong III like this
 
1. January Makamba - CCM
2. Zitto Zuberi Kabwe - CHADEMA
3. Mohamed Dewji -CCM
4. Nape Mnauye -CCM
5. Jakaya Kikwete -CCM (mwenyekiti)
6. Halima Mdee -CHADEMA
7. John Mnyika - CHADEMA
8. Ridhiwan Kikwete - CCM
9. Shyrose Bhanji -CCM
10. Joshua Nasari. - CHADEMA

CCM 6 - CDM 4

Mchuano bado mkali, na CCM inaongoza kwa goli 2 kuelekea 2015.
 
clouds tv bwana!!!
Wana vituko!!
Huyo no 1 amefanya nini? Mpaka akawa wa 1 kwenye siasa au kwa sababu anaofisi ya jimbo Dar salaam?. Hii tv isikurupuke ifanye utafiti siyo kutuletea utafita wa kwenye mitandao hapa! (mtoto wa nyoka ni nyoka tu!!!)
 
Mkuu hawa ni wazushi tu! Kama ni kuangalia wanasiasa walio fanya vizuri au wanao fanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii January Makamba hawezi kumfikia Dr Slaa na cha kushangaza Dr Slaa hata kwenye top 10 hayumo!

Angalia Dr Slaa ana followers wangapi, ametweet ngapi kwenye twitter @wilbrodslaa kisha mlinganishe na @jmakamba na wakati huohuo angalia pia hata kwenye fb akaunt zao.

Huu ni upishi wa haja ambao utafiti wake una tenge.
Naifahamu Clouds Radio kwa kujikombaring, lakini Clouds TV nilijua ni tofauti kumbe ni yale yale!.
 
Pasco,

..Regia Mtema alitakiwa awe-mentioned post humously.

..lakini Dr.Slaa naye kwa kweli tumekuwa naye hapa JF which I think has been very healthy.

NB:

..Hivi January atajinasua vipi na hili shombo na janaba ya ufisadi iliyoko ndani ya CCM?
 
Pasco swali langu ulioni hama dharau? William Malecela sio mwanasiasa kwani mbona hawajamuweka?
Ni mwanasiasa ila bado hakustahili kuingia kwenye top ten, walijikita kwa waserikali na Wabunge tuu. Sio yeye tuu ambaye hastahili, hata No. 8 hakustahili kuwemo kwenye top ten!.

Usichanganye wanasiasa wa jf na wanasiasa wa ukweli. Mfano humu jf kuna vichwa hatari kwenye jukwaa la siasa ila kiukweli sio wanasiasa kabisa. Mfano ni mimi Pasco wa jf, huwa nina coment sana tuu kwenye jukwaa la siasa, lakini kiukweli mimi sio mwanasiasa kabisa, japo nina chama lakini sio mshabiki, sio mfuasi na sijikombi kombi popote wala kwa yeyote!.
 
Clouds ina tofauti ndogo sana na uhuru. Clouds tv has never been reliable source. Kutwa nzima inarusha bongo flava sasa hiyo analysis ya siasa walifanya wapi? Bila shaka walicollect maoni ya akina sir nature, kibonde on fb. Makamba deserved to be the most interractive politician of this era, but definetily not in top ten at all. Wapi Deo, wapi Mbowe, wapi Slaa, wapi Lema! These guys deserved the top ten. Hivi jk ana browse? Usanii mtupu.
 
Du....! Kweli clouz ni waramba nyayo kiasi hiki yani kwann mtu kama Heche, kigwangala, dr slaa hawapo kwenye list? Huo ni upuuzi kabisa kwan JK yupo? Why nt hata H.kigwangala. Gosh
 
HUU NDuO WENDA WAZIMU....PASCO nina wasiwasi na upstairs ukoje this is stupid topic ever
Wewe umenasa umembea na unauleta hapa ujadili SO WHAT?? VERY STUPID
Vigezo gani vinetumika? kwanini hawaji JF??? isije kuwa mambo ya ZA MUTUZ anapost mambo ya Sijui demu huyu katoka hot, mara sex, mara mtu wangu
Where do they interact????
 
Back
Top Bottom