January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

It was just a matter of time for you to seek for green pasture.
No!, I'm not a grazing cow, and never sought for greener pasture, mimi ni Mzalendo, niko tuu kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda. Shati la mbogamboga ilibidi kulivaa, for survival, not survival ya tumbo, but to keep breathing maana...!

P
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.

Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.

Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.

Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.

Pasco.
huyu zuzu huwa ananichekeshaga sana na nyuzi zake yani ni kama katuni fulani.
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.

Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.

Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.

Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.

Pasco.
Nadhani Tungeanzia kwenye hicho Chombo kinacho-rate hizo positions....How credible and
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.

Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.

Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.

Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.

Pasco.
How credible and thorough!?
 
Bro ulizidisha uchawa. Unavyoelekea uzeeni hebu punguza uchawa. Jaribu kuwa impartial kwa siasa za kibongo walau tunaweza kupata busara zako kwa sababu sioni tena kama una future kwenye siasa za kibongo
 
Mkuu Keloseko, sisi makada, mambo ya chama huwa hatuyazungumzii nje mabarabarani, hayo huyazungumza kwenye vikao.
P
Hahaha....Kuna katuni Huwa naiona ikijitokeza mara kwa mara kwenye media ikimuonesha mtendaji wa Chama akimkaribisha mwanachama mpya kwa kumpokonya ubongo wake ili amsaidie kuuhifadhi kabatini...mwanzo nilikua nayacheka Yale masihara ya mtunzi wa katuni ile... lakini kadri kikatuni kinapozidi kujitokeza nazidi kumwelewa sana mtunzi wake...Mimi nadiriki kusema kwenye Siasa za nchi hii kuna Mchawi maridadi somewhere na Kazi yake kubwa ni kuwapumbaza watu ili wasitumie kabisa uwezo wao binafsi wa kufikiri na nguvu hizo umkabidhi mtu mmoja au wawili awasaidie jukumu Hilo muhimu (la kufikiri) katika ustawi wa jamii yoyote ile.
 
Jaribu kuwa impartial kwa siasa za kibongo walau tunaweza kupata busara zako kwa sababu sioni tena kama una future kwenye siasa za kibongo
Mkuu Kinyungu , watch me!. Tatizo la vilaza wengi, ni wale wenye akili fupi wanaodhani mimi natafuta uteuzi!. I still have a great future in Tanzania politics kwasababu mimi ni among the king makers!.
P
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.

Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.

Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.

Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.

Pasco.
Umeme umemtoa jasho akipewa nchi itakuwa balaa.
 
Wambie hatuhitaji umaarufu wa mtu.Tunahitaji mtu atakayesimama katika ukweli hata kama hautakuwa na ladha ndani ya chama chake mwenyewe.Hapa Tanzania hawapo.Tutaendeleaje kama hatusimami katika ukweli?
 
Back
Top Bottom