January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Kuna busara ya kutulia na kuangalia vitu vingine vikija na kwenda zake kama hatupo. Clouds? mhhh!!
 
Kama ni Clouds sioni cha ajabu hapo.
Halafu Great Thinkers tujifunze kuchuja hata channel tunazoangalia.
 
1. January Makamba - CCM
2. Zitto Zuberi Kabwe - CHADEMA
3. Mohamed Dewji -CCM
4. Nape Mnauye -CCM
5. Jakaya Kikwete -CCM (mwenyekiti)
6. Halima Mdee -CHADEMA
7. John Mnyika - CHADEMA
8. Ridhiwan Kikwete - CCM
9. Shyrose Bhanji -CCM
10. Joshua Nasari. - CHADEMA


CCM 6 - CDM 4

Mchuano bado mkali, na CCM inaongoza kwa goli 2 kuelekea 2015.

Mkuu kwani hujui kuwa waliotoa hayo ni TV CCM
 
Huyu naye anatuzingua hapa,au labda mimi ndo sielewi,hivi huyo kwenye nafasi ya 8 ni mwanasiasa?au lugha ndo imenichenga hapo juu:israel:
 
Huyu naye anatuzingua hapa,au labda mimi ndo sielewi,hivi huyo kwenye nafasi ya 8 ni mwanasiasa?au lugha ndo imenichenga hapo juu:israel:
 
Mimi naona Zitto Alistahili namba moja, Shyrose alitakiwa awe juujuu, ila Halima, si kivile yuko twitter sana tena ameingia recently. Anyway sijui wamepima kwa kutumia nini wao wanajua.
 
jamani umaarufu huu unaotafutwa sn na kijana JM tena kwa hoja ni mazalendo na clouds kumtangazia anaongoza kwenye social media anakimbilia wapi huyu? Au ndio nae ana zani atapata zali la kubebwa hadi urais??kwanza si ana certificate tuu huyu ya comflict resolution vp mbona zanzibar hajaonekana si nsio kazi zake???

Jamani ni swali tuu pengine mnaojua jitihada zake vzr anakimbilia wapi na kasi yake hiyo ya popularity....




Ana Msc in international relations au some related studies
January Makamba ? CSB/SJU

umaarufu si wanasiasa wote wanautafuta? kazi ya siasa ni kuongeza nguvu ili mwisho wa siku uwe kiongozi mkuu wa kisiasa..ni sawa kwa watu wote uwe banker, accountatnt, engineer unataka kufika juu kabisa wa kazi yako na uchangie zaidi mawazo yako katika jamii..
 
@ Dallai lama "Makamba ni janga..ana tamaa mno"

Sure He is another tragedy......baba yake kaiua CCM huko then mwanae nae aje aiuwe Tanzania...kazi kweli kweli hv hata aibu huwa hawana??/
 
Kwanza sio N/Waziri wa media yeye ni wa Mawasiliano!. Zamani ndio ilikuwa Habari na Mawasiliano, sasa Habari iko na Utamaduni na Michezo halafu Mawasiliano iko na Sayansi na Technolojia!.

Kwenye hilo la Clouds, January hajajitaja, ametajwa, ila pia kwenye kugombea urais wa CCM 2025 baada ya likizo fupi ya miaka 10!, January is the best that CCM has!.
na wapambe anao tayari, du!!
 
J ni mnafiki sana huyu mtu! Tatizo ni kwa huyu jk ndio kafanya urais huonekane kama kupanda dalala vile. Yani huyu aliyeweka project za bumbuli dar, ndio awe rais? Mnafiki sana huyu mtu pamoja na hiyo radio yake na lazima campaign manager wake hawe kibonde.
 
Ridiwan nakubaliana na wewe Pasco ni Watu kujikomba. Maana hata yetu ya kiswahili hajui, tofauti ya matumizi ya maneno hajui, sijui ni lawyer Gani huyu! Maana najua lawyers ni wazuri sana kwenye lugha.
 
Back
Top Bottom