January Makamba,Ponder deep over your fate

Hii peleka JF palace kule ndio kuna wazungu wenzako wa hii lugha.

Huku unatuchosha tu kwanza muandiko mbovu kabisa.
Haya malugha bila casto laga ni kutiana uvivu stimu zinalipiwa mwambie No one need to be toiled for nothing gadmshit!(Demnshit)
 
Bila shaka laga imeanza kukolea. Maana wanywa laga mzuka ukipanda hutiririka kizungu cha style hii
Haya malugha bila casto laga ni kutiana uvivu stimu zinalipiwa mwambie No one need to be toiled for nothing gadmshit!(Demnshit)
 
Mkuu usibishane na huyo mkimbizi anayejifanya shushushu
 
Mkuu wewe sio mlengwa wa comment yangu. Samahani lakini
 
Kweli bavicha mnapona ;

Taratiibu mnaanza kutuelewa..

Ila hamjachelewa sana.
Nashukuru msukule wa Lumumba umeelewa nilichoandika ila bado najiuliza huwa mnatumia nini katika kufikiria???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…