😂😂😂😂😂 let the show continue. I like it . Come on Magonjwa Mtambuka
Haya malugha bila casto laga ni kutiana uvivu stimu zinalipiwa mwambie No one need to be toiled for nothing gadmshit!(Demnshit)Hii peleka JF palace kule ndio kuna wazungu wenzako wa hii lugha.
Huku unatuchosha tu kwanza muandiko mbovu kabisa.
Wanfunz wa siku hizi,wanaweza kuunga mkono hata matapishi.jifunze so that u may gain knowledge. Ujinga ni utumwa wa elimu.Ha ha ha, there you go; you dimwit oaf.
Haya malugha bila casto laga ni kutiana uvivu stimu zinalipiwa mwambie No one need to be toiled for nothing gadmshit!(Demnshit)
Hoja yako ya msingi ni ipi? Maan wew ni op.Bila shaka laga imeanza kukolea. Maana wanywa laga mzuka ukipanda hutiririka kizungu cha style hii
Kuna vitu vya kukana... si vilivyo waziLeo eti mimi wa serikalini
Ha ha haaaaaa
🤡
?For English Audience
Kuna vitu vya kukana... si vilivyo wazi
Kama ng'eng'e inakupiga chenga tuweke mkataba ili nikufundeshe .
Mkuu usibishane na huyo mkimbizi anayejifanya shushushuNilikuwa nadhani una akili timamu kumbe chenga.
Hivi viongozi mbalimbali wa duniani hasa weupe wanaokuja hapo UK na kuongea lugha za kwao kwa akili yako unadhani hawajui English?
Mimi nilikuwepo hapo UK kipindi cha Tony Blair, Rais wa ufaransa alikuwa akija UK anaongea kifaransa ingawa anaijuwa vizuri English na Tony Blair akienda Paris anaongea Kingereza ingawa Tony Blair ni mzungumzaji mzuri wa French language.
Labda nikuulize swali dogo tu, hivi unajuwa kazi za majukwaa ya JF na matumizi yake? Unalifahamu jukwaa la JF Palace ni la kazi gani?
Halafu wewe ndio umekusanya kundi la wavivu wa kufikiri unajifanya Jasusi mbobezi? Msonyo wa Harmorapa.
SawaMkuu wewe sio mlengwa wa comment yangu. Samahani lakini
Na wewe leo umeelewa hayo maelezo??? Basi mungu ni mwema sanaHaya maelezo yamejitosheleza kabisa..bavicha wanaokota kila jambo mradi wawe na cha kusema.
Hakuna wanaloelewa zaidi ya kukomenti ili wapate buku 7Na nyinyi mazezeta ya Lumumba mnaokota nin?
Hivi u-classic wa Januarumy mnaousema hapa bi upi?Mkuu January ni mtu classic, anajua anachofanya,hawezi kuweka public kilichomtokea,mambo mengine muwe mnajiongeza jamani.
Kweli bavicha mnapona ;Na wewe leo umeelewa hayo maelezo??? Basi mungu ni mwema sana
Na buku 7 ndo zinawaponza .hawamhoji m/kiti wao kwanini wao ni buku 7 tu ?Hakuna wanaloelewa zaidi ya kukomenti ili wapate buku 7
Nashukuru msukule wa Lumumba umeelewa nilichoandika ila bado najiuliza huwa mnatumia nini katika kufikiria???Kweli bavicha mnapona ;
Taratiibu mnaanza kutuelewa..
Ila hamjachelewa sana.
Time will tell.Kweli bavicha mnapona ;
Taratiibu mnaanza kutuelewa..
Ila hamjachelewa sana.