January Makamba,Ponder deep over your fate

Acha udikteta. Sio kila member wa JF alikwepa umande kama wewe. Google "free English lessons" badala ya kuwakwepa wanaoongea Kiingereza
Hii peleka JF palace kule ndio kuna wazungu wenzako wa hii lugha.

Huku unatuchosha tu kwanza muandiko mbovu kabisa.
 
Ukiandika Kiingereza, basi onesha uwezo wa kudhibiti maarifa. Kiingereza bila maudhui ya kufikirisha hudharaulisha aliyendika.
 
Mkiambiwa kusoma shule mnaona mtapoteza muda
Ina maana wewe kweli umeelimika hata chembe?
Nenda Nairobi tu hapo kichaa muokota makopo anaongea English, anasoma na kuandika lakini Profesa mtaalam wa China, Ujerumani, Japana, Ufaransa hawa hawajui English.

Jitafakari upya kama una akili timamu au kama kweli ulikwenda shule kuelimika au kupitisha umri.
 
Acha udikteta. Sio kila member wa JF alikwepa umande kama wewe. Google "free English lessons" badala ya kuwakwepa wanaoongea Kiingereza
Nilikuwa nadhani una akili timamu kumbe chenga.

Hivi viongozi mbalimbali wa duniani hasa weupe wanaokuja hapo UK na kuongea lugha za kwao kwa akili yako unadhani hawajui English?

Mimi nilikuwepo hapo UK kipindi cha Tony Blair, Rais wa ufaransa alikuwa akija UK anaongea kifaransa ingawa anaijuwa vizuri English na Tony Blair akienda Paris anaongea Kingereza ingawa Tony Blair ni mzungumzaji mzuri wa French language.

Labda nikuulize swali dogo tu, hivi unajuwa kazi za majukwaa ya JF na matumizi yake? Unalifahamu jukwaa la JF Palace ni la kazi gani?

Halafu wewe ndio umekusanya kundi la wavivu wa kufikiri unajifanya Jasusi mbobezi? Msonyo wa Harmorapa.
 
Mkuu January ni mtu classic, anajua anachofanya,hawezi kuweka public kilichomtokea,mambo mengine muwe mnajiongeza jamani.
 
Wewe ndo mpumbavu wa wapumbavu,English tu lugha ya kawaida tu inakufanya utoe mapovu.
And what if I'd have spoken in tongue?
Halafu huwezi kujilinganisha na Chahali hata nukta tu,wewe kwa Chahali ni chokoraa flani hivi,ndo maana ulikuwa unachapiwa mkeo na bado hukuweza kumwacha,mwanaume gani wewe?
 
Ni kweli mpumbavu wa wapumbavu ni kiongozi wa wapumbavu, kwakuwa wewe ni mpumbavu basi mimi ni kiongozi wako.
 
Acha ushabiki kwani wewe ndie Makamba?wewe uko Australia usituharibie nchi yetu kwa uchochezi ,kuitwa na polisi mbona jambo la kawaida tu ni mhalifu pekee anayeogopa polisi,eti public figure sasa ulitaka mlalahoi ndie pekee ahojiwe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…