January Makamba, Nape Nnauye na Wabunge zaidi ya 10 wa CCM kutimkia CHADEMA?

Gazeti la Tanzanite, limewataja Mawaziri na Wabunge wafuatao kuwa wana mpango wa kuhamisha CHADEMA, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020: January Makamba, Nape Nnauye, Kangi Lugola, Peter Serukamba, William Ngeleja, Juma Nkamia, Victor Mwambalaswa, Elibariki Kingu, Said Murad na Richard Ndassa.

Inadaiwa chanzo ni hofu iliyotanda kwao kuwa huenda majina yao yasirudi kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na wamekuwa wakishawishiwa sana na Edward Lowassa ili wamfuate huko CHADEMA kuimarisha upinzani.

Gazeti hilo limeeleza kuwa, baba yake January, amekuwa akilalamika kuwa, mtoto wake hakuna chochote kinachofanywa na mwanaye kutokana na kutopata ushirikiano wowote kutoka Serikali ya Awamu ya Tano.

Nape yeye inadaiwa alimkatalia Lowassa kwa madai kuwa, hajaona Chama cha kukiondoa CCM madarakani.

Wajuvi wa mambo na wataalamu wa siasa mtuchambulie sisi yetu macho come 2020.

View attachment 648528
Tamaa ya fisi ya kusubiri mkono wa binadamu udondoke haikumwacha salama.
 
Back
Top Bottom