Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,369
- 68,460
makamba amepigwa za uso hana hamu, Lukuvi pia kala za uso na juzi kati alifukuzwa na magufuli pale ikulu alipoenda kumtambulisha yule muhindi mwizi mfadhili wa ccm
Nakubaliana na wewe!kishaandaliwa uwaziri wa mambo ya nje na miaka kumi ijayo ndo atakuja kuwa mgombea wa uraisi!!! kila kitu kwenye siasa kimeshapangwa kabla....
makamba amepigwa za uso hana hamu, lukuvi pia kala za uso na juzi kati alifukuzwa na magufuli pale ikulu alipoenda kumtambulisha yule muhindi mwizi mfadhili wa ccm
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.
Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.
Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.