misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,645
- 9,341
Kutokana na tafsiri yako au makamba mwenyewe?Ile hotuba kali ya Nape bungeni dhidi ya gesi huko kusini inawafanya kuweweseka,hapo anatafuta cheo kwa kuonyesha Nape ni mfitini kwa serikali na watu kama baba yake mzee Nnauye.
Sad!