January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

Sasa wanashambulia marehemu baba yake Nape, wanahangaika sana na kukosolewa, ndio characterisic weakness moja kubwa ya C.C.M.

January Makamba ukimsikia anaongea utadhani mtu mmoja ana busaaaara, kumbe ni mswahili wa Lushoto, vijembe, vimipasho na na vi ad hominem attack mwanzo mwisho.
I agree all the way!
 
Haya yote ameyafukua kwa faida gani? January bado ni kijana, siasa za kugawanya watu zitamharibia zaidi, bora angeendelea kushikamana na waliokwisha kumkubali pengine ingeshawishi na wengine kujiunga naye.
 
Sasa si inawezekana alinunua nyama kilo 10 buchani kwa ajili ya wageni rasmi na wale ng'ombe na mbuzi akawaswaga kuwapeleka kijijini kwake. Ufisadi ulianza zamani nchi hii!

Kuna clip moja alionekana akisema kiongozi lazima awe mfano kwa kutokuwa masikini, kama akiwa masikini kiongozi je wananchi watakuwaje!?
 
Sasa si inawezekana alinunua nyama kilo 10 buchani kwa ajili ya wageni rasmi na wale ng'ombe na mbuzi akawaswaga kuwapeleka kijijini kwake. Ufisadi ulianza zamani nchi hii!
Inawezekana hata Nnauye Sr aliwekewa Nyama nyingi sababu ni mgeni rasmi ila waliobaki walipata finyango moja moja au wasipate kabisa,
ha ha haaa......!!!!!
 
Sasa wanashambulia marehemu baba yake Nape, wanahangaika sana na kukosolewa, ndio characterisic weakness moja kubwa ya C.C.M.

January Makamba ukimsikia anaongea utadhani mtu mmoja ana busaaaara, kumbe ni mswahili wa Lushoto, vijembe, vimipasho na vi ad hominem attack mwanzo mwisho.
Jamani muwe mnasoma kwanza huku mmetulia hapo kamuabishaje Mzee Nnauye? soma taratibu anamaanisha ushahidi wa Mzee huyo marehemu ndio ulimfanya baba yake arudishwe kazini. Maana nyingine ni kuwa mzee huyo hakuogopa lile genge lilitaka kumfutilia mbali Mzee Makamba anachojaribu kutuambia January ni kuwa Nape ni jasiri, msema kweli na haogopi kuudhi makundi mengine ya kinafiki na hii tabia karithi kwa baba yake.Sina ushabiki na mwanakijani yyt.
 
Umemaliza mkuu.
 
Safari za kisiasa zina misukosuko mingi; usipokuwa mvumilivu hutofika mbali; maana ndani ya siasa kuna fitna na figisu kibao.
 
Pitia ujumbe wa Makamba anaosema kaupata alivyoenda kijijini kumuona mzee Makamba

Mkuu January kuna vitu vingine kweli nia inaweza kua nzuri lakini unisons between the lines unagundua ujumbe unamapungufu makubwa sana. Kwa culture au desturi za kiafrika usitegemee meza kuu ikaletewa ubwabwa hauna nyama, sembuse mgeni rasmi? Ingekua kaulizwa mshiriki nje ya meza kuu au mgeni rasmi hapo justification ingekuwepo. Sisemi mzee makamba aliswaga ng’ombe Lushoto ila nisemacho evidence aliyoitumia ku proove kuwa hapakua na udokozi it doesn’t held water. Maana kunauwezekano pia ukatakiwa kununua ng’ ombe kumi wa sherehe na wakanunuliwa watano au wakanunuliwa kumi kweli ila wakatumika watano tu na wengine watano wakapekekwa kusiko julikana. Na huenda mzee Makamba alikasmu majukumu ya ununuzi wa ng’ombe kwa wachini yake na wao wakapiga dili. kwa maana hiyo majibu ya Mzee Nnauye yalikua sahihi ya kuwa kweli alikula nyama lakini hainaanishi ng’ombe wote waliotakiwa kununuliwa walinunuliwa. Mzee Makamba anaweza kuwa sahihi pia kuwa aliwapa pesa kamili wale aliowatuma kununua ng’ombe na wakamuaminisha kuwa walinunua. This evidence based on one person or two can not justify the majority who attend in that ceremony. Sometimes maongeozi ya baba na mwana bora yakabaki nyumbani tu. Huenda mzee angejua you will share in the social media huenda angeiweka vizuei stori yake isiache mashaka katika ushahidi.
 
Back
Top Bottom