Tai Ngwilizi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2010
- 781
- 212
I totally disagree!!I equally put my hat off to the perceptiveness of this quick-witted guy. The charismatic MP has won widespread approval from across the country within such a short time he's been in the parliament. He is patently one of very few remaining rainmakers of Tanzania and I won't hesitate to vote on his favour anytime he decides to contest for presidency.
Nime furahishwa sana na style ya uongozi wa January Makamba, mbunge wa CCM akiwakilisha jimbo la Bumburi.
Niliwahi kuona akitoa namba zake (15013) kwa ajili ya wananchi kuwasiliana nae kwa jambo lolote haraka iwezekanavyo (huku ni kuonesha uwajibikaji).
Na hivi karibuni pia nimeona website yake, www.januarymakamba.com akiongelea mambo mengi, zaidi kuhusu yeye na Jimbo lake.
Well, ni ubunifu mkubwa sana ingawa ni wananchi wa chache sana wa jimbo lake wanaweza ku-access website hiyo na kuona mipango ya maendeleo na jinsi atakavoitekeleza...
Lakini dunia nzima (marafiki zake na wale wanao mfuatilia juu ya uongozi wake ambao hawapo Bumburi) watafurahishwa na jinsi anavyoonesha kufanya kazi na hata kuchangia shughuli za maendeleo huko.
Style yako naipenda, I hope una mengi unayowaza juu ya Tanzania. Fanya sasa tuyaone, umeanza vyema.
Acha upotoshaji mkuu. Hiyo namba (15013) kwa jinsi ninavyofahamu ni bure. Yeye ( January) ndiye anayelipa kwenye makampuni ya simu ili wapiga kura wake waweze kuwasiliana naye bila gharama. Ni vizuri kabla ya kuchangia kitu ufanye utafiti, tuache siasa za ushabiki. Lazima tukubali ukweli hata kama mtu mwenyewe hatumkubali. Pointi yako ya pili sio kweli kwani wananchi wale ambao hawawezi kutumia mitandao ya kijamii kama twitter, facebook au hata kutembelea web yake wanapataMleta mada kwa jinsi nilivyomwelewa mimi hana nia ya kumsifia Mbunge, ndo maana kaanza kwa kutoa namba 15***, na namba hizo gharama ya sms ni kubwa kuliko namba za kawaida, hivyo ili mwananchi awasiliane na mbunge lazima akatwe hela nyingi ambayo labda mbunge anapata commission. Na pointi ya pili ameweka plan zake kwenye mtandao ambao haufikiwi na asilimia kubwa ya watu anawawakilisha.
January Jr. ni jizi tu, hakuna mwanaccm msafi ambaye watanzania mnaweza kumfikiria kuja kutuongoza huko mbeleni, labda kama mnafkiria tutaendelea kuwa wajinga kama tulivyo sasa. Ukweli alioutoa unatokana na yeye kuwa na vested Interest na kiti cha Uwaziri cha ngereja, Ref Barua ya dada yake kwa mpenzi wake wa Barrick, January hata kama anaongea vizuri mbele ya watu, nyuma ya Pazia ni fisadi, hivyo amepoteza sifa ya kuaminiwa na watanzania, hasa wapinga ufisadi. Kimsingi anatakiwa aresign ili alinde hadhi yake kidogo iliyobakia, ila he is bogus pia.Kwa ccm watamzima kama Amina chifupa endapo ataendelea kuongea ukwel,kama jana kwenye mdahalo alivyomsema Ngereja na Werema laivu
Kwani January naye ni mbunge? alichaguliwa na nani kwa kura ngapi.
Deliver message kwa January kwamba, wasiwe kwenye denial. Wangejitizama kwenye Taswira na kama kuna doha usoni, waliondoe badala ya kusema hakuna doa wakati wanaliona. January aspoangalia, Mwamvita anamwangusha na kumuaibisha vibaya sana. Viongozi wengi wa juu wanamsema sana vibaya huyu dada kutoknana na tabi ya kulala hovyo ili apate anachotaka.
Hata kama barua iliyotumwa mtaiita feki, lakini ukweli ni kwamba, Mwamvita anayo hiyo tabia. Wewe mtu anazunguka na Mange, Kiki, Bijoux unategemea nini? January you know this. Hata kama unajiona mtu safi, tabia ya dadako kukuletea vitumbua ni mbaya. Unajua amenijaribu ili unilale?
Dogo kifaa bana, inabidi tumkubali.
Tukumbuke hata baba yake alivyokuwa mkuu wa mkoa DSM alipendwa sana. Alivyoteuliwa tu kwa katibu mkuu wa CCM ndiyo chuki ikaanza.
Nilichoona hapa, hawa watu ni watendaji wazuri, tatizo watu wamewachukia kwasababu ya kuwepo kwao CCM
Mkuu mimi lengo langu sio kupotosha lakini nilikuwa najaribu kueleza kutokana na experience nilliyonayo juu ya hizo namba zinazoanza na 15***, lakini kama anailipia yeye basi ni vizuri kwake na wapiga kura wake pia, pointi ya pili ni ukweli usiopingika hiyo hata kwa majimbo ya mjini kabisa kama ilala na kinondoni bado watumiaji wa internet ni wachache sana ndo ije iwe huko jimboni kwake.Acha upotoshaji mkuu. Hiyo namba (15013) kwa jinsi ninavyofahamu ni bure. Yeye ( January) ndiye anayelipa kwenye makampuni ya simu ili wapiga kura wake waweze kuwasiliana naye bila gharama. Ni vizuri kabla ya kuchangia kitu ufanye utafiti, tuache siasa za ushabiki. Lazima tukubali ukweli hata kama mtu mwenyewe hatumkubali. Pointi yako ya pili sio kweli kwani wananchi wale ambao hawawezi kutumia mitandao ya kijamii kama twitter, facebook au hata kutembelea web yake wanapata
nafasi ya kuwasiliana naye kwa njia ya sms kupitia simu zao za kiganjani.
I equally put my hat off to the perceptiveness of this quick-witted guy. The charismatic MP has won widespread approval from across the country within such a short time he's been in the parliament. He is patently one of very few remaining rainmakers of Tanzania and I won't hesitate to vote on his favour anytime he decides to contest for presidency.
I equally put my hat off to the perceptiveness of this quick-witted guy. The charismatic MP has won widespread approval from across the country within such a short time he's been in the parliament. He is patently one of very few remaining rainmakers of Tanzania and I won't hesitate to vote on his favour anytime he decides to contest for presidency.
Who among them is up for change? who has ever changed anything?..name one.
Usiongee kwa vile unamjua personally..........issue hapa ni kwamba ukiwa CCM huwezi kufanya anything good. Thats how it works kwa wanaccm!!
Mkuu umeongea jambo la maana sana. Kinachonishangaza mimi hata wakati wa chama kimoja tuliwakuwa tunampigia kura JK Nyerere ya HAPANA, au NDIYO. The same ikaja kwa Alhaj A H Mwinyi. Huwezi kuwa legimate kama uongozi wako hautokani na uchaguzi. Suala la kupita bila kupingwa ni ubakaji mkubwa sana wa Demokrasia, Ushahidi mkuu ni JIMBO LA NYAMAGANA: Yule jamaa aliyejifanya kapita bila kupingwa, hata kama Wenje asingeruhusiwa kugombea na NEC Taifa, basi kura za HAPANA zingemtoa katika ubunge. Katiba Mpya iliangalie hili.
Anayesakamwa kila siku hapa JF kwamba eti sio Mbunge halali ni January Makamba peke yake! Mbona hatusikii haya majina nayo yakitajwa? Wote hawa wamepita bila kupingwa:
Pinda, Makinda, Tibaijuka, Ngeleja, Mwandosya, Lukuvi, Ndugai, Teu, Sendeka, Filikunjombe, Maige, Mkono.
Kama mlishindwa kusimamisha mpinzani Bumbuli mjilaumu wenyewe kwa kushindwa kutumia haki yenu ya kidemokrasia hata kama mlijua mtagaragazwa. Zaidi ya hapo, huu ni upuuzi na chuki ya wazi dhidi ya January. Mjiulize ni kwanini hasa? Mlianza na kudai eti amekatazwa kuingia Marekani na Serikali ya nchi hiyo kwasababu Lisa Rockerfeller. Ujuha mtupu! Mwezi uliopita tukashuhudia yupo NYC kwenye mkutano wa Obama ambao Rakesh Rajani pia alihudhuria na kuzungumza. Mkaja na upuuzi mwingine kwamba amezuia uchunguzi wa North Mara na kapewa 2M USD. Mada ika-flop. Sasa umeamua ku-photoshop email ya 1M USD kutoka hao hao Barrick (mmeshusha dau), hata mtoto mdogo akiangalia anajua email ile imechakachuliwa. Mtaishia wapi? Nadhani kinawauma sana jinsi ambavyo January yeye yupo above the fray, tena wala hapotezi muda kuzungumzia hadharani juu ya chokochoko zenu na kuzipa mshiko. It must drive you all insane - mahasimu wake! Bahati nzuri Watanzania wengi wanaona hili na wajua ukweli wa mambo, lakini tuwe macho na sampuli hizi zinazotuletea skendo za uwongo humu ndani kama za General Shimbo.... Be warned everybody!!!!!!!!!