January Makamba (Mb) amepatwa na nini?

January Makamba (Mb) amepatwa na nini?

Atakuwa anaendelea kuzisoma namba za One Man Show. Kwa maneno mengine anaicheza ngoma ya mzimu waliojitengenezea wenyewe. Hii serikali nawambia anayeifurahia ni Bashite tu. Huyu fala sijui mganga wake nani??!!!
 
He Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae

I really Like him.
 
He Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae

I really Like him.

Hizo sifa ulizoorodhesha ukizisoma kinyume ndiyo vilema vya huyu jamaa tuliyenaye. Najua ndicho ulichomaanaisha.
 
He Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae

I really Like him.
kama tu kashindwa kusimamia uondoaji wa mifuko ya Rambo kwenye mazingira yetu ndiyo ataweza kuongoza nchi
 
Back
Top Bottom