Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
vijana tuamke tujipiganie wenyewe vijana tusikubali kuongozwa na wazee tu kila wakati,wakati ndio huu wa kijiongoza sisi wenyewe.kila la kheri ndugu january makamba.
ni vema kuwa na viongozi vijana ila sio january makamba.
Gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha Bodaboda Kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.
Hilo genge la walafi ndiyo lililomlea na kumkuza , hawezi kujitenga nao.
kama nikisema kuingia CCM , basi huyu kijana ni chaguo zuri sana kwangu , naiona kama tanzania ijayo inahitaji watu kama hawa mfano , ZITTO, JERRY SLAA, FILIKUNJOMBE na siyo ridhiwan kikwete. natumai huyu ndiyo atakuwa chaguo la CCM ,wakibugi step naona CCM wataangukia pua.
Gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha Bodaboda Kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.
Hilo genge la walafi ndiyo lililomlea na kumkuza , hawezi kujitenga nao.
View attachment 200845View attachment 200845View attachment 200845sifa nyingine ni za kijinga sana!hiv huyu makamba anakitu gani amekifanya tangu awe naibu waziri?leo hii wizi mkubwa unafanyika kwenye makampuni ya simu.....kamali kibao....wizi wa kazi za wasanii....amewasaidia vijana gani hadi utuletee post za kipuuzi hiv?kwenye ving'amuz sasa....channel za bongo hazionekani zote!salio likiisha hupati channel za bongo!kituko tupu!
sifa nyingine ni za kijinga sana!hiv huyu makamba anakitu gani amekifanya tangu awe naibu waziri?leo hii wizi mkubwa unafanyika kwenye makampuni ya simu.....kamali kibao....wizi wa kazi za wasanii....amewasaidia vijana gani hadi utuletee post za kipuuzi hiv?kwenye ving'amuz sasa....channel za bongo hazionekani zote!salio likiisha hupati channel za bongo!kituko tupu!
kijana amewatembelea vijana wenzake.
Gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha Bodaboda Kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.
duh!!! Haya ni matumzi mabaya ya fedha za walipa kodi yaani hata kinyago kinagawa fedha eti kipigiwe kampeni hapa jf kuhusu urais
kiukweli katika viongozi waliotangaza nia ya kutaka kugombea urais 2015 kupitia ccm ni bora ya january makamba,nadhani ni msafi hana kashfa yeyote na mchapa kazi.
hacha upuuzi wewe....jenga hoja siyo kukashfu watu humu....---- weeh.